Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi zinawagusa zaidi wananchi wa kawaida.

Bahadhi ya project zimekwishama lizika na nyingine bado zipo kwenye ujenzi.

 
Ongezea pia na miradi mbalimbali ya maji iliyomalizika na inayo endelea kujengwa,

Pia umeme wa REA.
 
Sio inaweza bali ndo ukweli wenyewe! BTW East, central n West Africa!
 
Na
Mnependa umalaya sana. Kwani soko ni kitu geni kwenu?
Naona corona unayoumwa imeingia mpaka kwenye ubongo, ndio mahana sishangai pumba uliyoandika hapo

Lakini mwisho wa siku ni wivu pia unaokusumbua
 
Tanzania kama nchi chini ya JPM inasonga kwa kasi ya mwanga.
Tatizo kubwa ni michwa kwenye hiyo miradi. Kuna watu unakuta wanajipanga kuhujumu. Nenda uone miundombinu ya hiyo miradi, yaani hakuna ukarabati, nakuhakikishia hiki kizazi ni Dkt Magufuli na wachache ndiyo wenye vision, wengine wanawaza kuiba tu. Hawakarabati kabisa miundo mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…