ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mtaani watauwawa na itaishia kuwa kama ilivyoishia huko Kenya.Umemaliza vizuri sana
Ikigoma huko kwenye muujiza watakuja mtaani kusaka vitu kwa nguvu au waanzishe gwaride na serikali.
Kuhusu kupunguza matumizi hiyo pesa inaingia kwenye pato Kama sio kubaki pale na hiyo itafanya kodi zipungue na kupunguza ukali wa maisha.
Nimekwambia ni wajibu wako wewe mzazi kuandaa maisha ya mtoto wako,unashinda Kwa mwamposa unategemea utapata maisha?
Wewe si una Watoto? Utawaambia Serikali ndio haijawapa kazi?