Tanzania inawezekana? Ruto asitisha ununuzi wa Magari ya Serikali kwa mwaka mzima, Mashirika ya umma 47 yafutwa hayana tija

Mtaani watauwawa na itaishia kuwa kama ilivyoishia huko Kenya.

Nimekwambia ni wajibu wako wewe mzazi kuandaa maisha ya mtoto wako,unashinda Kwa mwamposa unategemea utapata maisha?

Wewe si una Watoto? Utawaambia Serikali ndio haijawapa kazi?
 
naona anajaribu kufidia pesa alizotaka awatwishe mzigo wananchi
 
Kuna watu jana waliungana na Mh. William Ruto Rais wa Kenya 🇰🇪 katika Space ya Twitter au X iliyodumu kwa muda wa saa moja (1), tunaomba mtushirikishe nasi ni jambo gani kubwa labda lilikuwa ndio chanzo cha kufanya ajiweke hewani (online)?! 😁
 
Umechambua vizuri sana, tuna utitiri wa viongozi ambao hawahitajiki na wanafanya kazi moja
 
Hapo kwa wake wa maraisi na viongozi.
Nashauri hata Samia alione hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…