Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Mungu wetu aliye mkuu anatupenda sana Watanzania kwa kweli. Yatupasa tumshukuru sana kwa kuwa ametutendea yaliyo mema sana Watanzania kwa yale yaliyotokea mwezi March mwaka huu.

Mungu asingeingilia kati, ni dhahiri bin shahiri kuwa nchi yetu ilikuwa inakwenda kuwa Zimbabwe nyingine by the end of this year!
 
Pamoja na mapungufu yake yote JPM atabaki kuwa kiongozi bora kwenye utawala wote awamu zote Tanzania.
 
Kwa mara ya kwanza Magufuli ndani ya muda mfupi kututoa mstari wa nchi maskini mpaka nchi yenye uchumi wa kati , it's wonderful!, endelea na majungu kama ni mtaji
 
Hivi unataka kuniambia sisi hatuna akili kabisa mpaka tuingie mikataba ya kinyonyaji? Kinachotakiwa ni kila upande ufaidike lakini kuacha eti kwa kuogopa tutaibiwa huu ni zaidi ya ujinga.
Hatuna akili eeh!,umesahau ya JMK?
 
Bunge gan hilo lijiridhishe la kijan pole...yan tunakatiba ya hovyo na watunga sheria na wasimamiaji hovyo
 
Bora tu
Bora tutembeze bakuli tukiwa huru kuliko kuuwa watu, kupoteza na kufunga kisa tujitegemee
Tunatembeza bakuli kwa uwazi zaidi kuliko kuambiwa ni pesa zetu za ndani wakati tunakopa kisirisiri mpaka deni la Taifa linatisha.
 
Tulifikia vipi uchumi wa kati kama alifunga uchumi?,acheni ujinga basi
 
Acha mawazo ya ukabila. Unadhani hakuna kabila lisilofanya biashara? Yapo makabila kibao. Ila hawatafuti sifa kama wachaga. Ni kabila gani Tanzania utazunguka usilikute? Mfano tu wakinga ni kabila la wafanya biashara. Na wanafedha. Wametulia uwezi kuta mkinga anajisifu. Wachaga, wachaga labda kwa wale wasio wajua wachaga. Sioni cha ajabu. Kuna kipindi tulienda eneo moja, mchaga akaanza sifa huku wameenea wachaga ndo wenye mashamba. Baada ya utafiti walioenea ilikuwa ni kabila tofauti na wachaga. Tuache sifa za kijinga. Tuongelee utaifa. Si uchaga. Moshi huko ni shida tu.
 
Hatua gani nyie Mataga mbona hamtuambii kwa nini tumekopa sana kuliko awamu zote? Mbona hamtuambii kwanini mifuko ya hifadhi haina pesa za wachangiaji? Mbona hamtuambii mlikuwa na lengo gani kupora hela za watu hovyo? Anayeona Jiwe alikuwa anajenga uchumi wa nchi hii ni mbumbumbu kabisa wa uchumi.
 
Sukuma gang,give us a break...

huyo mwendazake alifanikiwa kuwa brainwash nyinyi tuh na sio sisi sote,Kwan suala la wawekezaji kukimbia na wafanya biashara kufunga biashara zao na uchumi kuyumba na hali ya maisha kuwa mbaya kipindi Cha mwendazake lilikuwa ni la kificho?Tulieni,mmesumbua Sana enz zenu Acha nchi iwekwe sawaa,kaa kwa kutulia hivyo hivyo
 
Watoto wana Njaaa wanataka kula, Mama anataka kutulisha na hataki kujifanya Masikini Jeuri, ni wakati sasa tupatd Msaada ulipo tutoke hapa tulipo

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 

Mama akaze hapo hapo wa kurokota makopo wacha warokote.
 
Kweli tupu
Ukiwachunguza wanaomponda ni wazee wa janja janja, ninachoamini alirudishia Tanzania heshima, alionesha nchi za Afrika tunaweza bila utegemezi, mama mtamsifia sana ndio kwanza hana hata mwaka siku si haba mtaanza tena kumponda, sisi tupo hapa.
 

Meza imepinduka. Aliyesema hii awamu ya tano yuko wapi?
 
Alifanikiwa kuwaaongopea nyinyi wenyewe washamba wenzake wasukuma,

Eti oooh hii nchi ni tajir,tunafanya kila kitu kwa fedha zetu za ndaniii,kumbe miyeyusho tuuuh,madeni kila kona,sasa sijui alikua anamdanganya nani,anakopa fedha huko nje kisha anakuja kutunanga huku kuwa anafanya Maendeleo kwa fedha zetu za ndani,kaacha legacy mbovu tuh usituambie lolote kuhusu yule mshamba
 
Ukiwachunguza wanaomponda ni wazee wa janja janja, ninachoamini alirudishia Tanzania heshima, alionesha nchi za Afrika tunaweza bila utegemezi, mama mtamsifia sana ndio kwanza hana hata mwaka siku si haba mtaanza tena kumponda, sisi tupo hapa.

Hadi tulipo hatuna cha kumponda labda kama wewe ni nabii Tito.
 
Ukiwachunguza wanaomponda ni wazee wa janja janja, ninachoamini alirudishia Tanzania heshima, alionesha nchi za Afrika tunaweza bila utegemezi, mama mtamsifia sana ndio kwanza hana hata mwaka siku si haba mtaanza tena kumponda, sisi tupo hapa
Wazee Wa janja janja kivip we Msukuma?

Inshort kifo chake kimewapagawisha nyinyi tuh huko kwenu,huku wengine tunaweka sherehe kila siku,wewe unajua Kaua watu wangapi huku nyumban Mtwara kwa kucheza na zao letu la korosho??

Sisi hatuwez kumsamehe kwa umaskin aliotusababishia kwa maamuz yake ya hovyo kwenye zao la korosho huyo jamaa,

Tena ukitukumbusha unazid kututia hasira
 
Lini hamjatembeza bakuli mkuu... Kwenye mradi wa SGR tu ameombwa Mchina, akaombwa S.A akaombwa Turkey yani huku pesa alikuwa akisema ipo ila kila anayekuja anamwomba.

Hata ela ya corona iliombwa ikaletwa wakati tunasema hakuna corona.

Hatujawahi kuacha kutembeza bakuli yale ya tunajenga kwa pesa ya ndani ni maneno. Lile deni la taifa kuongezeka kwa kasi we unadhani limeongezeka ka sababu gani kama si kukopa kopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…