Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ushamfukuza jamvini huyu maana ni bendera fuata upepoKuna mkataba gani uliosainiwa awamu ya 5 ambao uliwekwa hadharani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamfukuza jamvini huyu maana ni bendera fuata upepoKuna mkataba gani uliosainiwa awamu ya 5 ambao uliwekwa hadharani?
Are you jealous? Toroka uje CCM chama dume!Like son like father
Kenya kuna wawekezaji gani?Kama sio kufanya udalali tu,eti Rais Mwenye rasilimali lukuki na aridhi ya kutosha anaenda kutafuta wawekezaji Kenya 😁😄😄Kenya watu wanakufa njaa kwakukosa chakula,wanauana kwa ukabila eti leo wawe wawekezaji.Keli Watanzania aliyeturoga anastahili ukumu kali mbele ya MuumbaKwa dunia ya leo bila kuvutia uwekezaji sahau maendeleo. Kimsingi hakuna taifa lolote duniani linaloweza kupiga hatua kama hakuna muingiliano wa kiuchumi kwa mashirikiano na nchi zingine na hii ni kwasababu tunaishi kwa kutegemeana. Sasa nyie sijui ni nani aliwaaminisha kuwa nchi inaweza kupiga hatua ikibaki yenyewe.
Nadhani ni vizuri kuwa na uhusiano mzuri na majirani lakininhaina maana tusiangalie yale ya msingi ambayo tunapaswa kuwa makini nayo. Badala ya kulaumu tu tumpe mama mapendekezo sahihi asipotekeleza basi tumlaumu....Unapolaumu bila kutoa mbadala ni kutomtendea haki...Ninachojua ni kuwa mtu akishakuwa Rais lazima apewe haki yake na awe supported full kwa yale ambayo anayatamani kwa maslahi ya Taifa...Tukishindwa kuheshimu na kuwa support viongozi wetu, kwanza ni kukosa staha kisha ni kuzuia maendeleo ya nchi kwasababu za ubinafsi...Kenya kuna wawekezaji gani?Kama sio kufanya udalali tu,eti Rais Mwenye rasilimali lukuki na aridhi ya kutosha anaenda kutafuta wawekezaji Kenya 😁😄😄Kenya watu wanakufa njaa kwakukosa chakula,wanauana kwa ukabila eti leo wawe wawekezaji.Keli Watanzania aliyeturoga anastahili ukumu kali mbele ya Muumba
Ushamfukuza jamvini huyu maana ni bendera fuata upepo
Kwaiyo unaamini Watanzania wanakufa na corona kama Waindi na wabrazili wanavyokufa,ila Tanzania ina ficha vifoNdio hao wanajidanganya eti nchi za ulaya wajifunze kutoka kwetu tulivyopambana na covid19. Yaani kuminywa kwa taarifa, kuficha data za maambukizi na vifo, maombi ya siku tatu, kujenga mafukizo hospitali zetu ndio vitu vya kuiga?. Watu ni wa puuzi sana, eti kwakuwa husikii watu wanaokufa baada ya kuzuia taarifa unajiaminisha kuwa ugonjwa hakuna.
Watabet sana safari hii.Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Wakimbizi wote kutoka rwanda lazima mrudi kwenuAre you jealous? Toroka uje CCM chama dume!
Ukiilinganisha tanzania na ulaya utakuwa na ugonjwa wa akiliKwaiyo unaamini Watanzania wanakufa na corona kama Waindi na wabrazili wanavyokufa,ila Tanzania ina ficha vifo
Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Mpe kombe basiKumkwamisha kivipi! Ungejaribu kueleza kama mwenzio ila wewe unaonekana umekuja kupinga tu bila vigezo !! Hapaka hspi mtoa mada kashinda...!’
Kwaiyo corona ya Ulaya na Tanzania ni tofauti?Wewe ndio ngonjwa wa akili,unayechukuliwa na upepo wa kizungu,shugulisha akili yako ndogo uliyopewa na Mungu, acha kila kitu kumtegemea mzungu.Ukiilinganisha tanzania na ulaya utakuwa na ugonjwa wa akili
Tatizo hujui unacho kisema , mama hayupo na waramba viatu kama nyinyi wa sukuma gang
Hakuna mwekezaji aliyezuiwa kuja kuwekeza Tanzania wakati wa JPM kama yupo weka ushahidi.Kwa dunia ya leo bila kuvutia uwekezaji sahau maendeleo. Kimsingi hakuna taifa lolote duniani linaloweza kupiga hatua kama hakuna muingiliano wa kiuchumi kwa mashirikiano na nchi zingine na hii ni kwasababu tunaishi kwa kutegemeana. Sasa nyie sijui ni nani aliwaaminisha kuwa nchi inaweza kupiga hatua ikibaki yenyewe.
Huyo jamaa namfahamu sana ni kati ya wafuasi wa mwenfazake ambaye bado anaamini kuwa tupo kwenye utawala wa awamu ya 5.Wachaga wana biashara zao karibu kila mahali ndani ya Tanzania, including vijijini!
Kinyume chake, unakuta jamii zingine hawana biashara yoyote ya kueleweka hata kwenye maeneo yao wenyewe!!! Na hata wale wenye biashara, unakuta wapo maeneo yao tu, na wanashindwa kuvuka hata wilaya ya jirani hata kama wana uwezo huo kibiashara!!
Je, unataka kusema Tanzania inatoa fursa kwa Wachaga peke yake na sio kwa jamii zingine na ndo maana wao utawakuta karibu kila sehemu?!
Jiwe alikuwa anamkamua ng'ombe hadi anabakiza manyoya tu ili mradi apate sifa kuwa anakusanya kodi nyingi.Kuna biashara nyingi zilifungwa wakati wa awamu ya tano sababu ni namna kodi ilivyokusanywa kibabe. Makusanyo kuwa mengi wakati uhalisia ni kifo cha biashara ni kitu ambacho hakingeweza kuwa na tija ya kudumu.
Rais Samia amekuwa muungwana kuwa na uthubutu wa kusema hadharani juu ya uonevu waliokutana nao wafanyabiashara na siku ile ikulu ni kama vile alikuwa anawaangukia wafanyabiashara.
Huwezi kushindana na mfanyabiashara mwenye mtaji wa mamilioni ya pesa halafu waajiriwa wake wasiwe ni wa kwanza kuumia iwapo ataamua kutoipa ushirikiano serikali.
Kukusanya kodi hakukwepeki lakini maarifa ya hali ya juu ya ukusanyaji ndio silaha ya uwepo wa amani kati ya mkusanyaji na mlipaji.
Na ni ngumu sana kujitegemea katika dunia ambayo mwenye teknolojia ndiye mtawala mwenye ushawishi wa kuanzia kwa mtu mmoja mmoja mpaka kwa viongozi wa serikali.
Huwezi kuishi kama kisiwa, kwa namna moja au nyingine utawahitaji tu hao wenye teknolojia ili uingie nao ubia.
Kama ulikua unamsikiliza vizuri JPM hakuna sehemu aliyowahi kusema nchi isiingiliane kiuchumi na nchi nyingine. Alichokua anapinga ni wawekezaji wababaishaji ambao walizoea kuja kuchota rasilimali zetu na kupeleka kwao. Huyu mama anaturudisha kwenye sera za JK ambazo hazikuwahi kuinufaisha hii nchi.Kwa dunia ya leo bila kuvutia uwekezaji sahau maendeleo. Kimsingi hakuna taifa lolote duniani linaloweza kupiga hatua kama hakuna muingiliano wa kiuchumi kwa mashirikiano na nchi zingine na hii ni kwasababu tunaishi kwa kutegemeana. Sasa nyie sijui ni nani aliwaaminisha kuwa nchi inaweza kupiga hatua ikibaki yenyewe.