Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Mnagawana mbao na nani?
Waimba mapambio ya atawale milele mnapata tabu. Kaa kimya kama ulivyokuwa umekula kimya kipindi cha mwendazake.
Eti mikataba?. Niambie ni mikataba ipi magufuli alisaini ambayo bunge lilihidinisha.
 
Hivi unajua maana ya ukabila wewe?! NImesema makabila mengine hayafanyi biashara au nimekuambia utofauti wa ufanyaji biashara kati ya Wachaga na hayo makabila mengine?

Btw, kama kuwataja Wachaga ni ukabila, how come tena a nwewe unawataja Wakinga, na kwanini kwa mfano, hukuwataja Wakwere au Wafipa?

Ulivyo na mawazo ya hovyo si ajabu hapo unadhani mimi ni Mchaga...
 
Mtu ukisema ukweli kama huu unaambiwa eti umejipanga kumkwamisha mama. Toka lini Mzalendo akaitakia mabaya nchi yake? Mama kuna muda anasema mambo mpaka nashangaa. Nilidhani ni peke yangu sikumuelewa aliposema anaenda kuifungua nchi. Anaifungua nchi toka wapi. Wapi ilifungwa?

Mimi binafsi sitaki nchi yangu irudi nyuma, nataka isonge mbele. Mbele huko naona dalili za nchi yetu kukwama kama hatutakuwa serious. Sitaki siku watanzania wamuite mama "RAIS WA KUDEMKA". Maono yake ni yapi. Haya anayosema ya uchumi namuobea afanikiwe maana atakuwa amepiga hatua zaidi. Lakini kama U serious haupo, tutegemee vituko ndani ya miaka miwili tu ya uongozi wake, kitu ambacho mimi sitaki kitokee kwasababu naipenda Nchi yangu. Mama Watanzania tupo nyuma yako usituangushe mama. Chapa kazi, siku 100 zinakaribia toka umeridhi Urais, angalau utuoneshe jambo.
 
World Bank tumeingia Uchumi wa Kati. Unajidhalilisha Kalonji. Acha chuki binafsi.
 

nilitaka nikupe zawadi ya gari benz kwa maneno yako mazuri sana ila sijui ulipo
 

upo sawa kabisa majaliwa ndie anaefaa kuwa rais ila atawekewa vikwazo na kina kikwete
 
Hakuna nchi yoyote duniani iliyojifungia na kuweza kuendelea.Mama yetu Samia piga kazi.Achana na hawa wapuuzi walikokuwa wako kwenye usingizi ya P wakisubiria Mungu atuletee miujiza.
Makupa Mbona unaonesha una IQ ndogo aiseee? Lini Tanzania ilijifungia? Kodi za Bandarini kule zilitoka wapi kama tulijifungia? Mnakuwa kama hamna akili vile wakati mnazo. GDP yetu ilikuwaje kama tumejifungia? Serikali ya JPM ililenga kukuza Viwandana Uwekezaji, lini tumejifungia? Mnaongea Nadharia za mtoto wa Chekechea kwasababu mna roho mbaya za kishetani. Mkumbuke Msipoipigania Tanzania, nchi haitakaa sawa. " Mama alisema nanukuu maneno yake " Kuna wawekezaji wameanza kurudi nyuma baada ya Hayati Dr. Maguful kufariki, wanadhani mambo hayataenda".

Hii inaonesha mama ana kazi kubwa ya kujenga Confidence ya uwekezaji na pia kupambana na vikwazo vya uwekezaji.
 
Wasukuma kazi mnayo, nendeni kwa Gwaji boy mkamfufue mungu wenu, Muacheni mama afanye kazi wezi nyie
Mbwa wewe. Sisi ni Watanzania, tena wengine hatuna asili ya unao wataja. Tupo Visiwani huko anakotokea mama lakini Tuna Ipenda Tanzania yetu".
 
Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.

Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.

Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.

Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Hebu zungumza nini kakosea aliechangia, usiwatie ujinga watu kwa ushabiki. Sema kitu gani kakosea na kipi kipo sawa, na wewe unaonaje ili tuelimike.

Hii kuchangia kitoto toto bila kutoa kasoro kwa aliechangia tunavuruga ubora wa Jukwaani lá JF. Hili Jukwaani ni lá maoni na kuelimishana.
 
Usijishitukie wewe hakuna sehemu nimesema wewe mchaga. Ila ulipodai kwamba wachanga ndiyo kabila linalofanya biashara na limeenea kila sehemu kuliko makabila mengine, hapo nimekukatalia. Ulidai kuwa makabila mengine si kama wachaga. nakataa. Kuna makabila mengi yanayofanya biashara. Ukisoma nimesema kwa mfano wakinga. Unajua neno kwa mfano linapotumika. Uhitaji kutaja kila kitu, ndo maana sikutaja makabila mengine.
Kwa taarifa yako Wakerewe ni wafanya biashara wazuri, katika maswala ya uvuvi, na nyingi zinginezo. Na nikabila lililo na maprofesa wengi katika nchi hii.
Wafipa ni wafanya biashara wakubwa ya mazao na ni wakulima wazuri. Sihitaji nieleze kila kabila.
Wewe ndo unamawazo ya ovyo kwani unapandikiza kitu hata nisichokifikiria!
 
Tulia wewe sukuma gang,
Muda wenu ushapita na kamwe hautarudi hadi vizazi 20
 
Usijishitukie wewe hakuna sehemu nimesema wewe mchaga.
Sasa how come useme mimi ni mkabila wakati mimi sio Mchaga?! Ndo maana nilikuuliza unaelewa maana ya ukabila?!

Cambridge Dictionary inatafsiri tribalism kama:-
a very strong feeling of loyalty to a political or social group, so that you support them whatever they do
Je, hiyo tafsiri ina-fit kwenye kile nilichoongea?! Tangu lini kutoa credit kwa jamii fulani ikawa ni ukabila?

And to be honest, linapokuja suala la ukabila (na udini) huwa siwacheleweshi watu wanaoangukia kwenye Cambridge Definition ya Ukabila, kwa sababu hao tumewaona sana safari hii hadi akina Gwajima wakafikia kuhamasisha watu wamtetee JPM kwa sababu tu ni Msukuma mwenzao!!
Ila ulipodai kwamba wachanga ndiyo kabila linalofanya biashara na limeenea kila sehemu kuliko makabila mengine, hapo nimekukatalia.
Una uhakika ulichoandika ndicho nimeandika? Kama unajua Kiswahili fasaha, unaposeama "...ndiyo kabila linalofanya..." hapo maana yake nimeya-exclude makabila mengine, wakati nimesema:-
Wachaga wana biashara zao karibu kila mahali ndani ya Tanzania, including vijijini!
Wapi hapo nimeandika kuliko makabila mengine?! Au unataka kuupinga huo ukweli kwamba wana biashara kila mahali TZ including vijijini?

Au ulitaka nianze kuorodhesha makabila yooote ingawaje hata wewe uliishia tu kutaja Wakinga pekee?! Na hivi umaarufu wa Wakinga kwenye biashara, hususani huko vijijini unaweza kuulinganisha na wa Wachaga?
Ulidai kuwa makabila mengine si kama wachaga. nakataa. Kuna makabila mengi yanayofanya biashara. Ukisoma nimesema kwa mfano wakinga. Unajua neno kwa mfano linapotumika. Uhitaji kutaja kila kitu, ndo maana sikutaja makabila mengine.
Hivi hoja ya msingi ni kufanya biashara au kufanya biashara nje ya mipaka yao?
Kinyume chake, unakuta jamii zingine hawana biashara yoyote ya kueleweka hata kwenye maeneo yao wenyewe!!! Na hata wale wenye biashara, unakuta wapo maeneo yao tu, na wanashindwa kuvuka hata wilaya ya jirani hata kama wana uwezo huo kibiashara!!
Unaona hapo concern kubwa ni ipi?!
Kama makazi yako sio huko Ukerewe au Simbawanga, tembea basi kwenye kitongoji chako kisha hesabu biashara za Wakerewe, Wafipa na ikibidi hata na za Wakinga halafu linganisha na zile za Wachaga!!!

TIP: Don't hate giving credit where it deserve.
 
.. alikuwa anafanya manunuzi bila hata kufuata taratibu za serikali, Fisadi mkubwa yule
Taratibu za manunuzi zilotailored na mashariti ya wafadhili ya kununua basi la milion600 na lenye vitu fake lakini laina sura ya kuvutia badala ya kununua basi mbili zenye vitu halisi lakini lina sura ya kawaida kwa bei ya 560 milion!
 
Sasa hao wakawa wanakenua tu kufurahia jina hilo la kirofa
We uoni mtu akitumbuliwa ushangilia akisamehewa wanashangiliwa tena sababu wanyonge ilikuwa ni rahisi sana kuwadanganya enzi zile za comedy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…