Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Bora tutembeze bakuli tukiwa huru kuliko kuuwa watu, kupoteza na kufunga kisa tujitegemee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona hoja mkuu kukaribisha uwekezaji sio kutembeza bakuli.Nikukumbushe tu China imefika hapo ilipofika sio kwa fedha zake tu bali uwekezaji wa wafanyabiashara kutoka magharibi.Sema tu wenzetu ni wajanja sana kwe kuiba technolojia na kulinda soko lao.Ndio maana china waafrica ni rahisi kwao kununua bidhaa za china lakini ni ngumu sana Mwafrica kuingiza bidhaa china wanafanya hivyo ili sisi tubaki kuwa soko lao.Hiki ndicho kenya imekua ikiifanyia Tanzania.Nilipenda speech ya Rostam alipowaambia wakenya kua Tanzania haiwezi kukubali kubaki kuwa supplier wa Raw materials tu ni Lazima na wao wakubali uwekezaji toka Tanzania.Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.
Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.
Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania kulingana na Tanzania nchini Kenya ambazo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.
Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.
Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.
Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kikichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.
Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.
Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?
Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.
Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.
Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Endelea kumtetea kwa sababu ni mswahili mwenzio sheikh.NONSENSE... Jiwe lilikuwa linapingwa na kila mwenye akili timamu kwa sababu lilikuwa Katili, Liuaji, Dikteta, na sifa zingine zote za kishetani!
Ingawaje hakuna alipotajwa Samia, bado ulitaka nimkosoe Samia kwa lipi?!
Ulitaka nimkosoe kwa kuwataka TRA waache kutumia nguvu badala ya akili?
Ulitaka nimkosoe kwa kutaka kufungua uhusiano wa kibiashara na taifa la jirani?
Ulitaka nimkosoe kwa kuzifungua akaunti za Watetezi wa Haki za Binadamu ambazo zilifungwa na Shetani Jiwe
Hivi una akili kweli wewe?!
FYI, hata huyo Jiwe alipoingia madarakani nilikuwa namuunga mkono hadi pale alipoanza kuonesha udhalimu wake!!!
Ulivyo mpumbavu unadhani kila mmoja anaongozwa na mihemuko ya kidini! Na hiyo inadhihirisha unalitetea lile dhalimu kwa kuongozwa na udini... VERY STUPID!
Jibu nilichokuuliza ulitaka nimkosoe Samia kwa lipi we fedhuli unayesumbuliwa na chuki za udini?Endelea kumtetea kwa sababu ni mswahili mwenzio sheikh.
Kujitegemea wenyenyewe tuliweza lini,au kupitia propaganda, na ubinywaji wa uhuru wamaoni uliokithiri kipindi kifupi kilichopita.
JK ulimsifia kwa lipi zuri sana au ni mswahili mwenzetu? 😂😂Jibu nilichokuuliza ulitaka nimkosoe kwa lipi we fedhuli unayesumbuliwa chuki za udini?
Pamoja kiongozi,muda ni mwalimu mzuri ,ukifika wakati utaongeaVita ya kiuchumi huwezi ipangua kwa kuwalamba watu miguu, kutembeza bakuli na ku compromise na kila kitu. Nchi yoyote yenye viongozi makini, huhakikisha wanatumia kila walichonacho +resources za nchi nyingine kujikwamua. Tulianza kupiga hatua, tukafika mpaka uchumi wa kati wa chini sio haba ila huko tuendako naona tunarudi tena kwenye group la nchi masikini kwa uzembe wa watawala wasio na maono. Inasikitisha Sana, endeleeni kupiga makofi na vigelegele.
Kumbe unanifuatilia sana enh?! Nimejisikia vibaya kuona kumbe nilikuwa nam-despise mtu ambae amekuwa akinifuatilia kwa miaka yote hii!!JK ulimsifia kwa lipi zuri sana au ni mswahili mwenzetu? 😂😂
Mswahili mwenzio hakuna sababu ya maana mengine ni sehemu ya kujificha tu. 😊Kumbe unanifuatilia sana enh?! Nimejisikia vibaya kuona kumbe nilikuwa nam-despise mtu ambae amekuwa akinifuatilia kwa miaka yote hii!!
Btw, kama una akili timamu , nilikuwa namsifia kwa jambo lipi?
Ukoo wenu wamekufa wangapi kwa kovid?Ndio hao wanajidanganya eti nchi za ulaya wajifunze kutoka kwetu tulivyopambana na covid19. Yaani kuminywa kwa taarifa, kuficha data za maambukizi na vifo, maombi ya siku tatu, kujenga mafukizo hospitali zetu ndio vitu vya kuiga?. Watu ni wa puuzi sana, eti kwakuwa husikii watu wanaokufa baada ya kuzuia taarifa unajiaminisha kuwa ugonjwa hakuna.
Huo ni ujumbe kwamba unamtetea Jiwe kwa sababu Mlugaluga mwenzako!!!Nimekuuliza ulitaka nimchukie Samia kwa lipi, umeshindwa kujibu, badala yake unarukia kwa JK! Udini utakuua kima wewe!!Mswahili mwenzio hakuna sababu ya maana mengine ni sehemu ya kujificha tu. 😊
Hahahahah! Inashangaza na inafurahisha sanaTunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Kuna watu tupo ahead mzee tunaweza kusoma between the lines hoja na nia, hata uandike ile migazeti ya kurasa 50. Haya kazi iendelee muda utaamua nani ameitendea mema nchi hii.Huo ni ujumbe kwamba unamtetea Jiwe kwa sababu Mlugaluga mwenzako!!! Halafu we jamaa sijui ulikuwa unakazwa na Jiwe, manake lazima utoke povu kuhusu Jiwe hata mahali ambapo hajatajwa!!
Mkuu umewahi fanya biashara?? Tatizo kubwa pia ni mitaji KWA watanzania katika kuwekeza nje na na ushiriki mdogo wa serikali katika kusupport makampuni binafsi na wafanyabiashara, bali tu kuwanyanganya hata walichonacho kupitia kodi za ajabuajabu, Kama tulivyoona katika awam ya tanoDalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.
Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.
Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania kulingana na Tanzania nchini Kenya ambazo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.
Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.
Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.
Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kikichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.
Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.
Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?
Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.
Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.
Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.

Jibu maswali ninayokuuliza: Ulikuwa unakazwa na yule mzee?!Btw, lini nimewahi kuandika thread yoyote kumsifia JK?Kuna watu tupo ahead mzee tunaweza kusoma between the lines hoja na nia, hata uandike ile migazeti ya kurasa 50. Haya kazi iendelee muda utaamua nani ameitendea mema nchi hii.
4Ukoo wenu wamekufa wangapi kwa kovid?