Shemasi Jimmy
Member
- Apr 23, 2021
- 93
- 104
Marehemu dikiteta magufuli ni lini alipeleka mikataba bungeni ili ijadiliwe?
itakusaidia nini akikujibu.Ukoo wenu wamekufa wangapi kwa kovid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu dikiteta magufuli ni lini alipeleka mikataba bungeni ili ijadiliwe?
itakusaidia nini akikujibu.Ukoo wenu wamekufa wangapi kwa kovid?
We jamaa ni profesa LIPUMBA vuuu, muulize huyo anayemshinikiza maza apeleke mikataba bungeni je itasaidia nini?itakusaidia nini akikujibu.
Hakika nashuhudia usemachoTegemea wachangiaji wacheche kwenye huu uzi na matusi na dhiaka nyingi kwenye hao wachache.
MH. Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri anachofanya pia ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu ila awe makini asirudie makosa yalikwishakufanyika, lakini MAJALIWA KASSIM MAJALIWA atatukosea sana tena sana watanzania asipochukua fomu ya kuomba kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kweli asipofanya hivyo binafsi sitamsamehe tunamuhitaji katika hiyo nafasi, imani yangu na matumaini yangu yako kwake MUNGU amlinde. haya ni mawazo yangu binfsi sijatumwa, wala simchukii mtu, niko tayari kukosolewa sio kuhukumiwa.Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.
Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.
Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania kulingania na za Tanzania nchini Kenya ,ambazo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.
Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.
Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.
Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.
Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.
Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?
Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.
Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.
Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Hayo ndiyo matatizo yenu sukuma gang kutotumia akili.Hahahahah! Inashangaza na inafurahisha sana
Eti leo hii mtu kama wewe ambae ulikuwa hutaki hata kuisikia CCM leo hii ndo mtu wa kwanza kumsifia na kumkubali kada wa CCM
Yajayo yanafurahisha
Walau hakuna kutukanwa,Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.
Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.
Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania kulingania na za Tanzania nchini Kenya ,ambazo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.
Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.
Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.
Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.
Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.
Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?
Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.
Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.
Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Waliozoea kusafisha mikojo Ili tumbo lishibe leo biashara ile imekufa wanatapatapa Sana hawa.Jiwe ajui chochote kuhusu uchumi wa duniani sera zake chakavu zilifaa miaka ya 50 na sio kizazi cha sasa zingetuletea umasikini kuzidi ethiopia bora Mungu alivyosikia maombi yetu.Nchi inafunguliwa tunauza tutakapo korosho mbaazi ufuta mwaka huu bei juu.Waliozoea kuona viroba baharini imekula kwao.Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
HakunaTupe mfano wa mkataba ambao Magufuli na serikali yake waliuweka wazi.
Mataga wanaumia Sana kutoona viroba vikielea,watu wakibomolewa nyumba zao,tumbuliwa,KILA siku Head line mara zito mara mbowe mara Lema wakiburuzwa na polisi vibaraka either mahakamani au vituoni.Zama za ushenzi zilizikwa rasmi chatotown.Tupo mikono salama japo hatuna pesa tuna amani.Walau hakuna kutukanwa,
kukripiwa wala kugombezwa na madharau kibaooo.... Na wapendwa wetu hawatwekwi na Kuuwawa.
Ushaliwa kichwa ww tulia hujui kituTunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Cheki akili fupi kama hizi....samia anaenda kuifungua nchi, yule mshamba alikuwa anawaambia nchi inaenda kujitegemea kiuchumi kumbe alikuwa mkopaji mkubwa na aliomba IMF impatie msaada . Nyie wapumbavu wake mnamuamini. alikuwa anaielekeza Tanzania kuwa kama venezuela, haina demeokrasia, haina uchumi, haina marafiki. Mungu akatuepusha kama alivyotuepusha na kimbunga jobo
Sisi ni wengi sana na tupo organized kuliko unavyodhani, si kwakumkwamisha Mh. Rais bali kumpa msaada kwa maendeleo na faida ya nchi yetu kwa ujumla na wala siyo faida binafsi......Hakuna namna nchi hii itarudi kwenye ule utopia wa kufikirika ambapo makampuni hewa yaliletwa na makuwadi wao......Tumshauri Mh. Rais kwa uaminifu pasipo kumtumia ili azidi kuwa na confidence na maamuzi yake.......Kuweni makini sana na huo upambe nuksi usio na faida kwa nchi yetuMagufuli labda kawatoeni nyinyi mataga na sukuma gang matongotongo maana wengine walisha jitambua.
Wewe Mmawia ni CDM damu-damu unajifanya kucheza ngoma ya majani ya kijani na maua ya njano ukizodoa chawa wanavyokosoana ndani na kumwongoza kiongozi wao uelekeo sahihi ila kwa kuona kuna unafuu kwako unajitosa kuwashambulia bila kujua nyuma ya pazia.Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.
Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.
Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.
Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.