Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Subiri uone tunavyokufa njaa...Pole wee!
CCM ni ile ile ukaeukijua hilo...Usupokubali ndiyo utajua hujui...Haikuwahi kumilikiwa wala kushindwa kuendeleza mandate ya nchi hii...Ile ni institution individuals are coming and going...Shukrani kubwa kwa akili kubwa ya Hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere, Mungu ampe pumziko la kweli...Katika institutions alizozijenga zikajengeka ni CCM
Tatizo hujui unacho kisema , mama hayupo na waramba viatu kama nyinyi wa sukuma gang
 
Subiri uone tunavyokufa njaa...Pole wee!
CCM ni ile ile ukaeukijua hilo...Usupokubali ndiyo utajua hujui...Haikuwahi kumilikiwa wala kushindwa kuendeleza mandate ya nchi hii...Ile ni institution individuals are coming and going...Shukrani kubwa kwa akili kubwa ya Hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere, Mungu ampe pumziko la kweli...Katika institutions alizozijenga zikajengeka ni CCM
Mfuate jiwe
 
Jiwe alivyoharibu hii nchi natamani angekuwa hai apigwe mawe hadharani
 
Vita ya kiuchumi huwezi ipangua kwa kuwalamba watu miguu, kutembeza bakuli na ku compromise na kila kitu. Nchi yoyote yenye viongozi makini, huhakikisha wanatumia kila walichonacho +resources za nchi nyingine kujikwamua. Tulianza kupiga hatua, tukafika mpaka uchumi wa kati wa chini sio haba ila huko tuendako naona tunarudi tena kwenye group la nchi masikini kwa uzembe wa watawala wasio na maono. Inasikitisha Sana, endeleeni kupiga makofi na vigelegele.
Mfuasi wa shetani jiwe ktk ubora wako.
 
Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.

Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.

Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.

Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
usiseme tunatakiwa kukubali,kwani nani kakataa???

watu tuko kwenye gari tunazuia dereva asivywe pombe wewe umekaa nyuma yetu unasema tukubali tu maana ndio dereva tuliye naye.

lazima aelekezwe,shinda mnayo nyinyi mnaotafuta namna ya kuwa chawa wa mama,mnadhani mama anapenda kusifiwa muda wote[emoji16][emoji16]
 
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.

Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.

Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania,hebu lingania makampuni ya Tanzania nchini Kenya ,ambayo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini kwetu ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.

Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.

Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.

Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.

Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.

Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?

Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.

Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.

Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Hakuna nchi yoyote duniani iliyojifungia na kuweza kuendelea.Mama yetu Samia piga kazi.Achana na hawa wapuuzi walikokuwa wako kwenye usingizi ya P wakisubiria Mungu atuletee miujiza.
 
when 'the tallest' talks 'the shortest'.....is it a verbal irony or situational irony?
 
Bavicha wanaelewa basi wenzio!! Yaani hawahusu kabisa wao utawasikia lock down basi. Huhuhu
 
Ilijitegemea lini Kiongozi?Awamu ya 5 deni la Taifa limeongezeka nakufika trioni 70.Na tulikopa kutoka kwa hao hao wewe unaona wabaya ,uchumi wa kijamaa ni mgumu kwa raia.Uchumi wa kukuza sector binafsi ndiyo mzuri
 
Pumbavu kabisa wee Mama..
Meko has gone and he will never be back again..he has gone for good..!!Bado haujaamini tu??
Nchi nzima ina furaha kwa huyu Mwehu kutokuwepo..wewe na wehu wenzako ndio kila siku Meko..Meko..
Kafie mbele huko.
 
Nafikiri wapumbavu ni ancestors wako wewe mtoto wa kikopo
 
Ilijitegemea lini Kiongozi?Awamu ya 5 deni la Taifa limeongezeka nakufika trioni 70.Na tulikopa kutoka kwa hao hao wewe unaona wabaya ,uchumi wa kijamaa ni mgumu kwa raia.Uchumi wa kukuza sector binafsi ndiyo mzuri
Tofautisha kukopa na misaada ,sisi tunakopa ili tufanye maendeleo ,kukopa si dhambi ,nchi tajiri na matajri wanakopa ,na ukiona unakopesheka ujue dhamana yako inaruhusu ,ficha upumbavu wako
 
Pumbavu kabisa wee Mama..
Meko has gone and he will never be back again..he has gone for good..!!Bado haujaamini tu??
Nchi nzima ina furaha kwa huyu Mwehu kutokuwepo..wewe na wehu wenzako ndio kila siku Meko..Meko..
Kafie mbele huko.
Acha bangi ,mbaya sana huiwezi
 
Hakuna nchi yoyote duniani iliyojifungia na kuweza kuendelea.Mama yetu Samia piga kazi.Achana na hawa wapuuzi walikokuwa wako kwenye usingizi ya P wakisubiria Mungu atuletee miujiza.
Siamini na sitaamini kwa Tanzania tuliwahi kujifungia ,ispokuwa tuliwahi kuwa na viongozi wazururaji wanaotembeza bakuri na kutuletea vyandarua na alikuwepo kiongozi makini anaeisimamia nchi barabara na ikawezesha kufikia uchumi wa kati chini toka tupate uhuru na alitumia muda mchache sana
 
Tofautisha kukopa na misaada ,sisi tunakopa ili tufanye maendeleo ,kukopa si dhambi ,nchi tajiri na matajri wanakopa ,na ukiona unakopesheka ujue dhamana yako inaruhusu ,ficha upumbavu wako
Unashida ,ndiyo shida ya kusoma shule za kata.Kwanini unatukana baada ya kutoa hoja yako.Malezi yako ni mabovu kutoka kwa wazazi wako.Ukilelewa kwa malezi ya kishenzi utakuwa mwepesi kutukana watu ambao wao hawajakutukana.
 
Tofautisha kukopa na misaada ,sisi tunakopa ili tufanye maendeleo ,kukopa si dhambi ,nchi tajiri na matajri wanakopa ,na ukiona unakopesheka ujue dhamana yako inaruhusu ,ficha upumbavu wako
Kwa hiyo Mama kaenda kuomba msaada wapi sasa hoja yako haieleweki ,wewe ndiyo mpumbavu mkubwa.Kama humpendi mama kajinyonge,zama zenu zimepita nyinyi mnaojiona mna haki kuliko watz wengine
 
''Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo''

Mkuu punguza mahaba kwa Mwendazake,uchuuzi ni ule umachinga alioutengeneza kupitia vitambulisho vya Tsh.20,000/-.

Naamini wewe huitakii mema Tanzania ila jitahidi kuulazimisha moyo wako kwamba Magufuli is no longer na Samia ndo rais wetu kwa sasa.Wajibu wetu kumuombea na siyo kumbeza.

Hongera mama kwa mwanzo wenye kishindo wasikurudishe nyuma hawa wachache maana wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.
 
Mbona kwa hayati hamjawahi kusifia na kutia moyo? Mpaka mkathubutu kufungua kesi kwenye mahakama za kimataifa, kushawishi wadai kwa serikali kukamata ndege, kuzuia misaada, kusitisha mahusiano na Tanzania nk.

Mbona hamjatangaza kwamba serikali imeshindwa kesi juzi na mdai wake mkulima aliyefungua kesi mwaka 2001 na 2006 na kuhukumiwa tarehe 4 Mei 2021? Mbona hajatangaza kwamba kuna mdai alitaka kukamata ndege 3 za Tanzania ambazo zinasubiri kuletwa.

Mnachokifanya kwa sasa ni kwa maslahi yenu sio Tanzania na muda ni mwalimu mzuri asiyerejeshwa nyuma.
Magufuli alisifiwa alipokuwa akifanya vizuri pia mwanzoni, aliporekebisha mambo kadhaa yaliyokuwa yanalalamikiwa kipindi cha jakaya.
 
Dalili ya mvua ni mawingu, hali hii inatokana na matamshi na vision ya kiongozi aliyeko Madarakani.

Si kweli kwamba utaratibu wa uwekezaji nchini ni mbaya, nakataa hili kwa ushahidi kwa kupitia kauli ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini Rostom Aziz aliyoitoa akiwa ziarani Kenya aliyeambatana na Rais Samia.

Alisema, mfano kuna kampuni 530 za Kenya zimewekeza nchini Tanzania,hebu lingania makampuni ya Tanzania nchini Kenya ,ambayo ni 30 tu, hivyo uwekezaji nchini kwetu ni rahisi kabisa, ispokuwa kuna machache ya kurekebisha kulingana na matakwa ya muda husika.

Hivyo sisi tumefungua fursa zaidi kuliko wenzetu, isipokuwa wenzetu wametugeuza sisi ndio raw materials producers wa viwanda vyao na wanahakikisha hatukui kwenye eneo la viwanda nchini. Hili Magufuli alilipinga kwa nguvu zote ndio maana akaja na sera ya viwanda.

Niseme tu hayati Magufuli alikuwa ni mtu ambaye Mara nyingi alifanya tafiti na kupata takwimu kabla ya Maamuzi magumu kutolewa, hii ilimfanya aheshimike sana duniani licha ya mahasimu wake kumshusha thamani.

Hayati Magufuli enzi ya utawala wake hakupenda kabisa ubabaishaji na hili lilimgharimu sana .ndicho kilichopelekea baadhi ya makampuni na wafanyabiashara matapeli kukimbia nchini, ambao Mama Samia kaenda kuwapigia Magoti.

Sasa naiona Tanzania inarudi ilipotoka, Tanzania inaenda kuwa nchi ya wachuuzi tena ,pamoja na raslimali lukuki ilizonazo,hii inaendana pia na kushuka kwa morali ya uwajibikaji wa baadhi ya viongozi wetu na kujiingiza kwenye rushwa.

Maneno aliyosema Rais Samia alipokutana na wafanyabiashara nchini Kenya ya kwamba anaenda kuifungua nchi. Je, ni lini nchi hii ilifunga mipaka yake?

Nafikiri angesema hakusanyi kodi tena wawekezaji ruksa kufanyabiashara nchini bila masharti tungrmuelewa na jambo hilo halipo duniani, kodi ndio msingi wa maendeleo, serikali kama haikusanyi kodi haina uhalali wa kutawala.

Mwisho kataja bandari ya Bagamoyo na eneo la viwanda, tusikubali uharaka haraka wake kusaini hii mikataba bila ya kujiridhisha, bunge lihakikishe mikataba hii haisainiwi gizani kama alivyofanya kwenye hili bomba la kuuza gasi nchini Kenya.

Mambo haya yalifanyika sana enzi za awamu ya nne, na yameligharimu sana taifa baada ya hayati Magufuli kutaka kuinasua nchi kwenye ujinga huu, naona Mama Samia anataka kupita kulekule kulipotugharimu. Vinginevyo nchi hii tunaenda kugawana mbao, Magufuli kaondoka kawatoa watanzania tongotongo machoni.
Liwalo na liwe, mhimu tuna furaha na uhuru wetu inatosha. Mama songa mbele.
 
Back
Top Bottom