Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Sijaona hoja mkuu kukaribisha uwekezaji sio kutembeza bakuli.Nikukumbushe tu China imefika hapo ilipofika sio kwa fedha zake tu bali uwekezaji wa wafanyabiashara kutoka magharibi.Sema tu wenzetu ni wajanja sana kwe kuiba technolojia na kulinda soko lao.Ndio maana china waafrica ni rahisi kwao kununua bidhaa za china lakini ni ngumu sana Mwafrica kuingiza bidhaa china wanafanya hivyo ili sisi tubaki kuwa soko lao.Hiki ndicho kenya imekua ikiifanyia Tanzania.Nilipenda speech ya Rostam alipowaambia wakenya kua Tanzania haiwezi kukubali kubaki kuwa supplier wa Raw materials tu ni Lazima na wao wakubali uwekezaji toka Tanzania.
 
Endelea kumtetea kwa sababu ni mswahili mwenzio sheikh.
 
Kujitegemea wenyenyewe tuliweza lini,au kupitia propaganda, na ubinywaji wa uhuru wamaoni uliokithiri kipindi kifupi kilichopita.

Ndio hao wanajidanganya eti nchi za ulaya wajifunze kutoka kwetu tulivyopambana na covid19. Yaani kuminywa kwa taarifa, kuficha data za maambukizi na vifo, maombi ya siku tatu, kujenga mafukizo hospitali zetu ndio vitu vya kuiga?. Watu ni wa puuzi sana, eti kwakuwa husikii watu wanaokufa baada ya kuzuia taarifa unajiaminisha kuwa ugonjwa hakuna.
 
Magufuli is dead and not coming back
Live with it!

Business and Investment environment during Magufuli regime was very bad, We are happy that Madam president is mitigating the situation

Above all Magufuli regime was characterised with gross human rights violation, including extortion, and taking farmers cashew nuts by force using the military.

Madam president is going to eliminate that nonsense and create confidence for businesses to flourish and investors to come.
 
Pamoja kiongozi,muda ni mwalimu mzuri ,ukifika wakati utaongea
 
JK ulimsifia kwa lipi zuri sana au ni mswahili mwenzetu? 😂😂
Kumbe unanifuatilia sana enh?! Nimejisikia vibaya kuona kumbe nilikuwa nam-despise mtu ambae amekuwa akinifuatilia kwa miaka yote hii!!

Btw, kama una akili timamu , nilikuwa namsifia kwa jambo lipi?
 
Kumbe unanifuatilia sana enh?! Nimejisikia vibaya kuona kumbe nilikuwa nam-despise mtu ambae amekuwa akinifuatilia kwa miaka yote hii!!

Btw, kama una akili timamu , nilikuwa namsifia kwa jambo lipi?
Mswahili mwenzio hakuna sababu ya maana mengine ni sehemu ya kujificha tu. 😊
 
Ukoo wenu wamekufa wangapi kwa kovid?
 
Mswahili mwenzio hakuna sababu ya maana mengine ni sehemu ya kujificha tu. 😊
Huo ni ujumbe kwamba unamtetea Jiwe kwa sababu Mlugaluga mwenzako!!!Nimekuuliza ulitaka nimchukie Samia kwa lipi, umeshindwa kujibu, badala yake unarukia kwa JK! Udini utakuua kima wewe!!

Halafu we jamaa sijui ulikuwa unakazwa na Jiwe, manake lazima utoke povu kuhusu Jiwe hata mahali ambapo hajatajwa!!
 
Tunawajua kundi lenu loote mnaojitahidi kumkwamisha mama Samia.

Mnajitahidi kubeza kila anachokifanya.

Hata hivyo hamtaweza maana tayari mshajulikana.

Niwashauri tu kuwa mnatakiwa mkubali kuwa mama Samia ndiye Rais wa JMT.
Hahahahah! Inashangaza na inafurahisha sana

Eti leo hii mtu kama wewe ambae ulikuwa hutaki hata kuisikia CCM leo hii ndo mtu wa kwanza kumsifia na kumkubali kada wa CCM

Yajayo yanafurahisha
 
Kwa miaka 6 ya marehemu dikiteta magufuli tutajie viwanda 5 vya maana vilivyojengwa ili kutetea point yako kwamba, marehemu dikiteta alikuwa anajenga misingi ya kujitegemea?
 
Huo ni ujumbe kwamba unamtetea Jiwe kwa sababu Mlugaluga mwenzako!!! Halafu we jamaa sijui ulikuwa unakazwa na Jiwe, manake lazima utoke povu kuhusu Jiwe hata mahali ambapo hajatajwa!!
Kuna watu tupo ahead mzee tunaweza kusoma between the lines hoja na nia, hata uandike ile migazeti ya kurasa 50. Haya kazi iendelee muda utaamua nani ameitendea mema nchi hii.
 
Mkuu umewahi fanya biashara?? Tatizo kubwa pia ni mitaji KWA watanzania katika kuwekeza nje na na ushiriki mdogo wa serikali katika kusupport makampuni binafsi na wafanyabiashara, bali tu kuwanyanganya hata walichonacho kupitia kodi za ajabuajabu, Kama tulivyoona katika awam ya tano
KWA mazingira Kama Ayo yatawapata wangapi wa kuwekeza nje???
 
Kuna watu tupo ahead mzee tunaweza kusoma between the lines hoja na nia, hata uandike ile migazeti ya kurasa 50. Haya kazi iendelee muda utaamua nani ameitendea mema nchi hii.
Jibu maswali ninayokuuliza: Ulikuwa unakazwa na yule mzee?!Btw, lini nimewahi kuandika thread yoyote kumsifia JK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…