Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
In the past one year Magufuli has either killed or abducted a journalist or an opposition member. CHADEMA can't hold meetings because the dictator is using police force to deny them freedom of association.

Last year he arrested Muthoki Mumo and Angela Quintal and closed JF because he didn't want anybody questioning his actions. Azory's whereabouts is unknown. In February 2018 he killed Godfrey Luena and Daniel Johns.

This year he closed The Citizen magazine for reporting that Tanzanian currency is is speedily losing value and now he has abducted both Mbunda and Mdude. All these dirty works is finalised by his attempt to kill Tundu Lisu.
 
Wanapiga kelele hapa JF and they can't talk about the internal killing and oppression. They call help from medias is other countries as if they don't have journalist.

Uzuri wa udikteta wa JPM ni udikteta wa maendeleo, karibuni Kagera 😍 🚜🌄🌳🌾🍀

20190505_112755png.png
20190505_112843png.png
20190505_112923png.png
20190505_113015png.png
 
Those were terroristsThose were terrorists and deserved death
Hahahahaha, alikamatwa na kupelekwa mahakamani kama alikua terrorist?, au Kenya ni Banana Republican hakuna sheria wala MAHAKAMA?. Basi kama unasema hao walikua terrorists bila kuhukumiwa mahakamani, hata huyo Azory pia ni terrorist.
Vipi kuhusu yule Pastor aliyepinga Mauaji ya wajaluo katika kipindi cha uchaguzi, pia alikua terrorist?
 
Osama alikamatwa akapelekwa mahakamani? Saadam alikamatwa akapelekwa mahakamani? Rogo alishawai kamatwa na kupelekwa Kamiti maximum prison for six yrs and he didn't slow down, ilibidi auliwe na story take isaulike. We as Kenyans supported the killing.

Leta video inathibitisha yeye ni terrorist venye nimekuletea ya Rogo. Rogo was a known Al Shaabab sympathizer who whom no country wanted to host except Somalia.

Saadam alipelekwa mahakamani na alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo, Aboud Rogo Mara zote alizopelekwa mahakamani serikali ya Kenya ilishindwa kuthibitisha kama kweli ni terrorist na aliachiwa huru na MAHAKAMA.

Osama aliuliwa na Marekani nje ya mfumo wa sheria, Marekani ilitumia ubabe na nguvu zake kuvamia nchi ya Pakistan na kumuua Osama bila kufuata sheria, Japo tunaunga mkono kuuliwa kwa Osama, lakini sheria hazikufuatwa.

Vipi kuhusu Jacob JUMA, Chris Msando, na yuke Pastor kule Kisumu?.
 
This is a video ofMakaburi which still explains why he was killed.Since he was Killed Mombasa has never been attacked again by the All Shaabab.
Saadam alipelekwa mahakamani na alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifo, Aboud Rogo Mara zote alizopelekwa mahakamani serikali ya Kenya ilishindwa kuthibitisha kama kweli ni terrorist na aliachiwa huru na MAHAKAMA.

Osama aliuliwa na Marekani nje ya mfumo wa sheria, Marekani ilitumia ubabe na nguvu zake kuvamia nchi ya Pakistan na kumuua Osama bila kufuata sheria, Japo tunaunga mkono kuuliwa kwa Osama, lakini sheria hazikufuatwa.

Vipi kuhusu Jacob JUMA, Chris Msando, na yuke Pastor kule Kisumu?.
 
Leta video inathibitisha yeye ni terrorist venye nimekuletea ya Rogo. Rogo was a known Al Shaabab sympathizer who whom no country wanted to host except Somalia.
Yenye kuthibitisha kwamba mtu ni terrorist sio video, ni MAHAKAMA pekee. Katika hii video yako uliyoweka, mwishoni mtangazaji amesema katika Mara zote alizopelekwa mahakamani, serikali imeshindwa kuthibitisha kama Rogo ni terrorist, sasa wewe unapata wapi madaraka ya kusema Rogo alikua ni terrorist?, au tukubaliane kwamba Kenya ni banana Republic, POLISI inaweza kuhukumu kifo bila MAHAKAMA.
 
Back
Top Bottom