Nimesema ukweli. Sisubiri kushikiwa akili na mtu kama weweNyie ni walamba miguu tuu hamjui mnachokitetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema ukweli. Sisubiri kushikiwa akili na mtu kama weweNyie ni walamba miguu tuu hamjui mnachokitetea
Wanna know why your country is the unhappiest? This is one of the reasons.Pambana na nchi yako wewe mnyarawanda wa Kenya, achana na Tanzania na kila baya na zuri lao, wanaomba nini kwenu mpaka muumie kiasi hiki?
Chuki chuki chuki na roho mbaya zimekutawaleni, kwani ulisikia watanzania wakiomba watambuliwe na hao wakenya wasioijuwa ramani ya Tanzania?
Jitafakarini sana na chuki zenu, sasa mnakuja kwa mgongo wa Tanzania kuwa nchi ya kidikteta baada ya maeneo mengine kukwama na dunia kutambua ufirauni wenu dhidi ya Tanzania.
Aibu kubwa kwenu, mmeshindwa kupambana kivyenu mpaka muitaje Tanzania ndipo mfanikiwe nyang'au nyie.
It's simply because your said country is the happiest....Wanna know why your country is the unhappiest? This is one of the reasons.
Soma ulichoandika utaelewa kwamba nyie ndio mna chuki.
Kwao Kenya daily wanauwawa hovyo hovyo wakenya wangapi mpaka atokwe na shipa juu ya Tanzania...?Punguza povu mkuu pambana na hoja sio mleta hoja!!
Eti mambo ya watanzania wayamalize watanzania wenyewe , Mbona miradi ya afya ,elimu , "ukimwi " na miundombinu tunaomba misaada nje ..
Mbona tunakimbilia kukopa world bank na nchi za nje ili kutatua changamoto zetu .. Kwanini tusishuglikie hizo changamoto sisi wenyewe kama usemavyo..
Wewe unaonesha kama si kunithibitishia kuwa hii nchi RAIA wake wana Low IQ ya kiasi kikubwa inayotokana na mfumo mbovu wa elimu, lishe duni (umasikini ) n.k
Acha kulia basi. With the trend of killing and abduction Magufuli is making headlines as the new dictator in the continent. Do you know the reason Tanzania was ranked third in most depressed countries? Because mko na shida kuliko Somalia na South Sudan.
Pole broh, usiniroge juu hapa naona mnalead kwa urogi na uchawi dunia nzima na 92%.Achana na Tanzania pambana na nchi yako Kenya huko, huko kwenu mnauwana wangapi kwa mwaka? Kucha kutwa ninyi kuhangaika na habari mbaya kwa Tanzania tu, kama kwenu mko na furaha endeleeni kufurahi kivyenu hamna mnalosaidia nchi yetu manyang'au ninyi.
It's obvious that you are battling depression. Please seek some help.It's simply because your said country is the happiest....
Umefurahi eeehh?
Furaha na huzuni za nchi isiyo yako vinakuhusu nini weye?
Unawashwa si bure!
Pole broh, usiniroge juu hapa naona mnalead kwa urogi na uchawi dunia nzima na 92%.View attachment 1089777
It's obvious that you are battling depression. Please seek some help.
The dead souls of some little angels and albinos would prove you erroneousEast Africa hakuna nchi watu wanaishi kwa amani raha na Uhuru ka Tanzania mnaobisha bisheni ilaa ukiwa tz unakua ka upo sehem salama kuliko Kenya Rwanda Burundi Uganda na vinchi vingne vya pemben yetu
You kill each other during every elections like wild animals, you kill each other every day you call it terrorist attacks, the truth is those attacks are stage managed by GoK.The dead souls of some little angels and albinos would prove you erroneous
Hamna kitu.Ulevi wa kishabiki unakusumbua hivi angekua ametekwa ndgu yako ungeandika haya , ungejisikiaje?