Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Pambana na nchi yako wewe mnyarawanda wa Kenya, achana na Tanzania na kila baya na zuri lao, wanaomba nini kwenu mpaka muumie kiasi hiki?
Chuki chuki chuki na roho mbaya zimekutawaleni, kwani ulisikia watanzania wakiomba watambuliwe na hao wakenya wasioijuwa ramani ya Tanzania?
Jitafakarini sana na chuki zenu, sasa mnakuja kwa mgongo wa Tanzania kuwa nchi ya kidikteta baada ya maeneo mengine kukwama na dunia kutambua ufirauni wenu dhidi ya Tanzania.
Aibu kubwa kwenu, mmeshindwa kupambana kivyenu mpaka muitaje Tanzania ndipo mfanikiwe nyang'au nyie.
Wanna know why your country is the unhappiest? This is one of the reasons.
Soma ulichoandika utaelewa kwamba nyie ndio mna chuki.
 
Wanna know why your country is the unhappiest? This is one of the reasons.
Soma ulichoandika utaelewa kwamba nyie ndio mna chuki.
It's simply because your said country is the happiest....
Umefurahi eeehh?
Furaha na huzuni za nchi isiyo yako vinakuhusu nini weye?
Unawashwa si bure!
 
Hujielewi wewe nyang'au... Kwahiyo unaenda kuomba msaada Kenya sio?
Mambo ya Tanzania Kenya inahusikaje? Wacheni porojo zenu kapambaneni na magaidi ya somalia huko.....
Eti mambo ya watanzania wayamalize watanzania wenyewe , Mbona miradi ya afya ,elimu , "ukimwi " na miundombinu tunaomba misaada nje ..

Mbona tunakimbilia kukopa world bank na nchi za nje ili kutatua changamoto zetu .. Kwanini tusishuglikie hizo changamoto sisi wenyewe kama usemavyo..

Wewe unaonesha kama si kunithibitishia kuwa hii nchi RAIA wake wana Low IQ ya kiasi kikubwa inayotokana na mfumo mbovu wa elimu, lishe duni (umasikini ) n.k
 
Achana na Tanzania pambana na nchi yako Kenya huko, huko kwenu mnauwana wangapi kwa mwaka? Kucha kutwa ninyi kuhangaika na habari mbaya kwa Tanzania tu, kama kwenu mko na furaha endeleeni kufurahi kivyenu hamna mnalosaidia nchi yetu manyang'au ninyi.
Acha kulia basi. With the trend of killing and abduction Magufuli is making headlines as the new dictator in the continent. Do you know the reason Tanzania was ranked third in most depressed countries? Because mko na shida kuliko Somalia na South Sudan.
 
Achana na Tanzania pambana na nchi yako Kenya huko, huko kwenu mnauwana wangapi kwa mwaka? Kucha kutwa ninyi kuhangaika na habari mbaya kwa Tanzania tu, kama kwenu mko na furaha endeleeni kufurahi kivyenu hamna mnalosaidia nchi yetu manyang'au ninyi.
Pole broh, usiniroge juu hapa naona mnalead kwa urogi na uchawi dunia nzima na 92%.
gsi-chp4-3.jpeg
 
It's simply because your said country is the happiest....
Umefurahi eeehh?
Furaha na huzuni za nchi isiyo yako vinakuhusu nini weye?
Unawashwa si bure!
It's obvious that you are battling depression. Please seek some help.
 
East Africa hakuna nchi watu wanaishi kwa amani raha na Uhuru ka Tanzania mnaobisha bisheni ilaa ukiwa tz unakua ka upo sehem salama kuliko Kenya Rwanda Burundi Uganda na vinchi vingne vya pemben yetu

The dead souls of some little angels and albinos would prove you erroneous
 
The dead souls of some little angels and albinos would prove you erroneous
You kill each other during every elections like wild animals, you kill each other every day you call it terrorist attacks, the truth is those attacks are stage managed by GoK.
 
Back
Top Bottom