TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Anko so umeamua kujibu hata visivyokuhusu..una stress na we unaonesha ni mvivu.. Fanya kazi siasa haitakulishaa..Watu wa chache kwa tamaa ya uongozi na umasikini wa fikra mnatufanya tunaishi kama wakimbizi katika inchi yetu kwanini?