Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Watu wa chache kwa tamaa ya uongozi na umasikini wa fikra mnatufanya tunaishi kama wakimbizi katika inchi yetu kwanini?
Anko so umeamua kujibu hata visivyokuhusu..una stress na we unaonesha ni mvivu.. Fanya kazi siasa haitakulishaa..
 
Hujui kuwa wiki iliyoisha Jana tu katekwa MDUDE na Wakili wa kujitegemea ?
Kupelekwa polisi siku hizi ni kutekwa??? Aiseee tafuteni ajira muuwe bize mambo ya kushinda vijiweni ndio mnajipa stori ka hizoo???
 
Acha kulia basi. With the trend of killing and abduction Magufuli is making headlines as the new dictator in the continent. Do you know the reason Tanzania was ranked third in most depressed countries? Because mko na shida kuliko Somalia na South Sudan.
Kashtaki Anko ruksaa
 
Hujitambui ni mtumwa wa fikra mijitu aina yako itaifanya Africa isiendelee miaka mamilioni maana mpo wengi mnafikiri kwakutumia miguu badala ya kichwa
Anayejitambua ni mzazi wako aliyekubali kumchanulia miguu mlevi ili abakwe
 
Nikisema Tanzania ni dictatorship country mnaona vibaya. On a sasa huyu jamaa alishikwa just because he said that your SGR is built using borrowed money na pia uchumi wenyu haikuwi kwa 7% venye your dictator is trying to say.

Mambo ya nchi yako umeyamaliza mpaka ujiingize kwa mambo ya watanzania?
Unateseka nini juu ya Tanzania?
Waachie watanzania acha kutokwa na shipa hawajakutuma uwasemee, wivu chuki unafiki na roho mbaya zako na wakenya wenzio zinawazidi kiwango sana hasa nyakati hizi mnapobanwa kende kuliko zama zingine....

Kutwa kuchwa hamuwachi kuwasema ssma watanzania na maisha yao, kama nchi yenu nzuri mithili ya Paradise ni heri kwenu kwani Tanzania imewazuia nini ninyi kula mema ya nchi yenu?
Waacheni wapumue na nchi yao pambaneni na unyang'au wenu wapuuzi ninyi msio faa hata urafiki....
Na katika watu watanzania wanapaswa kujihadhari nao kutokana na chuki zao za wazi ninyi wakenya ni namba moja maana hakuna jema mtatamani kuliona katika hii nchi isipokuwa daima mnatafuta namna ya kulidhoofisha hili taifa, nchi yenu haina uovu mbona mwaupamba?
Tanzania kama nchi ina madhaifu yake yanayopaswa kudaiwa na watanzania wenyewe sio kupitia ufedhuli na unafiki wenu, muwe na aibu wapuuzi ninyi...
Kila siku mnakuja na thread juu ya Tanzania kwani mnateswa na nini kwenye hii nchi? Mmeombwa usaidizi hata wa sima basi muwalishe watanzania? Kuna misaada yenu inapotea bure hata muumie kiasi hicho?
Tunajua furaha yenu ni uharibifu dhidi ya hili taifa hivyo hizi hoja zenu mnaleta leta kujifariji na kutafuta namna ya kuishusha Tanzania ndani na nje ya Africa kwa namna yoyote kwakuwa kiundani kabisa mwajua mbali na jitihada zenu za ufedhuli hii nchi ni kikwazo kwenu kwani imejaaliwa kuwazidi..
Wivu dhidi ya Tanzania ukizidi kuwapelekea ukichaa wakenya. Na inafahamika mko tayari kuungana na adui yoyote dhidi ya Tanzania ili mjione mko juu.
Poleni sana..
Punguza povu mkuu pambana na hoja sio mleta hoja!!
 
Nikisema Tanzania ni dictatorship country mnaona vibaya. On a sasa huyu jamaa alishikwa just because he said that your SGR is built using borrowed money na pia uchumi wenyu haikuwi kwa 7% venye your dictator is trying to say.

Hahahahaha, nchi inayowapiga risasi wananchi na kuwauwa kwasababu tu wanafanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, na nchi inayokamata watu upi ni udikteta mbaya zaidi?
 
Tundu was shot 16 times, luckily he didn't die.
Hahahahaha, nchi inayowapiga risasi wananchi na kuwauwa kwasababu tu wanafanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, na nchi inayokamata watu upi ni udikteta mbaya zaidi?
 
Kumbe struggler gorge pia mnajenga kwa deni?
Hahahahaha, nchi inayowapiga risasi wananchi na kuwauwa kwasababu tu wanafanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, na nchi inayokamata watu upi ni udikteta mbaya zaidi?
 
Tundu was shot 16 times, luckily he didn't die.
Yes one people was injured in Tanzania vs 70 people killed in Kenya, which is a dictatorial country?
 
Ni one person not one people. Ama hiyo pia umetoa google?
Yes one people was injured in Tanzania vs 70 people killed in Kenya, which is a dictatorial country?
 
Nenda ukagoogle alafu urudi. Wewe nakujua na kugoogle every word.
Usikimbie hoja, Tanzania MTU mmoja(Lisu), alijeruhiwa, Kenya watu 70 waliouliwa kwa risasi, wapi kuna udikteta wa kutisha?
 
Usikimbie hoja, Tanzania MTU mmoja(Lisu), alijeruhiwa, Kenya watu 70 waliouliwa kwa risasi, wapi kuna udikteta wa kutisha?
Kenya haiko kwa list ya dictatorship countries.
 
Kenya haiko kwa list ya dictatorship countries.
Sawa tu, kwasababu maisha ya wakenya hayana thamani. Mtanzania mmoja akijeruhiwa, dunia inajua na kupiga kelele, na kuiweka Tanzania katika list ya dictatorship, Ila Wakenya 70 wakiuliwa is normal na hakuna MTU anajali.
 
Total is seven of them, compare with this;
 
Back
Top Bottom