Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Kukataa kuitoa ripoti ya IMF si udikteta? ni nini kinafichwa?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jana tu kikundi cha utekaji kimeteka raia aliyekuwa anakosoa serikali huko Mbeya Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Limekaa kishabiki,kutokna na stress za nchi yake Tuachie Tanzania yetu.
 
Nachocheka hii thread kaandika mkenya hahaha... Sijui mambo ya tz na ug yanamhusu nini... Nyege mbayaa aseee
Wanaandika wa Kenya wa Tanzania mmekuwa wauaji hiyo siyo sifa ni ujinga kila mtu ana thamani na siyo kila mnayepishana mawazo mnamuua hatuwezi kuendelea hivi ni ujinga

##Bring Back Mdude.##
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umechukua hatua gani sasa baada ya tz kua hivyo???
Haya si majibu omba Mungu yasikukute lakini tambua kuwa wapambe wa Al-Bashir hawakujua kuwa yatawakuta haya lakini leo wapo wapi?

Na ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

#BRING BACK MDUDE#
 
Ujambazi upo wapi hapo? Huyo mkulima ukimuambia huo utumbo wako sijui wa bring back our shit ataweza kukupiga bastola
Acha kuwa mjinga hivyo ona thamani ya mtu inchi ni yetu sote
Mkulima gani hajui yanayoendelea hata Al-Bashir katika mikutano yake alikuwa akijaza watu huku amezungukwa na mitutu leo yapo wapi?

Haya maisha tunapta hakuna haja ya kutesana hivi kana kwamba wengine mtaishi milele.

BRING BACK MDUDE#
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yenye kuthibitisha kwamba mtu ni terrorist sio video, ni MAHAKAMA pekee. Katika hii video yako uliyoweka, mwishoni mtangazaji amesema katika Mara zote alizopelekwa mahakamani, serikali imeshindwa kuthibitisha kama Rogo ni terrorist, sasa wewe unapata wapi madaraka ya kusema Rogo alikua ni terrorist?, au tukubaliane kwamba Kenya ni banana Republic, POLISI inaweza kuhukumu kifo bila MAHAKAMA.
Hivi kwanini Mungu aliumba watu wa namna yako?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ninarudia tena, hata kama Rogo alikua anasema, kwanini MAHAKAMA ilishindwa kutumia hizo video ili kumtia hatiani?, kwani hizi clips ambazo wewe unazitumia kusema Rogo alikua terrorist hazikuwepo?, mbona serikali ilishindwa kuzitumia kama ushahidi mahakamani badala yake Rogo alishinda na kuachiwa Uhuru?, wewe unajua sheria kuliko mahakama za Kenya?
Hapa una maana Azori , na wanaotekwa wote ni ni terrorists?

Hebu tumia akili vizuri
 
Kwahiyo nyie mliua wawili wao wakaua 68. Hahahah kituko ka hiki unakikuta Kenya pekee
Watu wa chache kwa tamaa ya uongozi na umasikini wa fikra mnatufanya tunaishi kama wakimbizi katika inchi yetu kwanini?
 
Kenya acheni kushangilia kufeli kwa breki za gari letu. tatizO mmezoe kuendeaha gari lenu Bora kila mara na sasa mnajilinganisha nasi
Inchi yetu kwa hili la MDUDE ni inchi ya kidikteta
 
Limekaa kishabiki,kutokna na stress za nchi yake Tuachie Tanzania yetu.
Ulevi wa kishabiki unakusumbua hivi angekua ametekwa ndgu yako ungeandika haya , ungejisikiaje?
 
Wamemsukumizia Ikulu huyo mwendawazimu ambaye hana hata chembe moja ya uongozi sasa kabaki kufanya maovu ya kukwapua trillions hazina na kuuwa Watanzania wanaomkosoa kwa ukatili wake na maovu mengine mbali mbali.
Hakuna Uhuru tena inchi imegeuka vitisho na mauji kutekana tekana kishamba
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha, alikamatwa na kupelekwa mahakamani kama alikua terrorist?, au Kenya ni Banana Republican hakuna sheria wala MAHAKAMA?. Basi kama unasema hao walikua terrorists bila kuhukumiwa mahakamani, hata huyo Azory pia ni terrorist.
Vipi kuhusu yule Pastor aliyepinga Mauaji ya wajaluo katika kipindi cha uchaguzi, pia alikua terrorist?
Kenya hatuwezi guga terrorists, The guy was an alshabaab recruiter and died just like Osama. Heri mmoja akufe kuliko maelfu. Westgate made the government and all Kenyans brake down. Wanafaa kujua this is not an Islamic state na wakijaribu upuzz wanatumwa wote.
 
Back
Top Bottom