Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

This is a video ofMakaburi which still explains why he was killed.Since he was Killed Mombasa has never been attacked again by the All Shaabab.
Kwani Kenya haina MAHAKAMA zenye kuaminika?, kama MAHAKAMA ziliona hausiki na akaachiwa huru Mara zote alizopelekwa mahakamani, vipi POLISI waamue kuchukua sheria mikononi mwao?, hii ndio sababu kubwa Kenya inaongoza Africa katika "Police killings with impunity"
 
Ni kama ulikuwa unatama video lakini husikilizi vitu Rogo alikuwa anasema. Re-watch it again. Alafu let's tu any video inaonyesha Azory ni suspect.
Yenye kuthibitisha kwamba mtu ni terrorist sio video, ni MAHAKAMA pekee. Katika hii video yako uliyoweka, mwishoni mtangazaji amesema katika Mara zote alizopelekwa mahakamani, serikali imeshindwa kuthibitisha kama Rogo ni terrorist, sasa wewe unapata wapi madaraka ya kusema Rogo alikua ni terrorist?, au tukubaliane kwamba Kenya ni banana Republic, POLISI inaweza kuhukumu kifo bila MAHAKAMA.
 
Ni kama ulikuwa unatama video lakini husikilizi vitu Rogo alikuwa anasema. Re-watch it again. Alafu let's tu any video inaonyesha Azory ni suspect.
Ninarudia tena, hata kama Rogo alikua anasema, kwanini MAHAKAMA ilishindwa kutumia hizo video ili kumtia hatiani?, kwani hizi clips ambazo wewe unazitumia kusema Rogo alikua terrorist hazikuwepo?, mbona serikali ilishindwa kuzitumia kama ushahidi mahakamani badala yake Rogo alishinda na kuachiwa Uhuru?, wewe unajua sheria kuliko mahakama za Kenya?
 
His words betrayed him. Listen to the part Aboud Rogo is talking
Ahaaa haaa haaa
Which court proved beyond the reasonable doubt that the men were terrorists.
 
Hii clip ilitolewa after ameuliwa.
Ninarudia tena, hata kama Rogo alikua anasema, kwanini MAHAKAMA ilishindwa kutumia hizo video ili kumtia hatiani?, kwani hizi clips ambazo wewe unazitumia kusema Rogo alikua terrorist hazikuwepo?, mbona serikali ilishindwa kuzitumia kama ushahidi mahakamani badala yake Rogo alishinda na kuachiwa Uhuru?, wewe unajua sheria kuliko mahakama za Kenya?
 
Nobody complained when Rogo was killed, in fact almost all Kenyans appreciated the government for the good work. I myself am happy for the killing of Rogo and Makaburi.But the case of Azory nobody is happy Magufuli and his sycophants like you.

Ili heshima iwepo basi lazima kuwe na mipaka. Kutukana, Kuzusha mambo sio uhuru bali ni UJINGA kuuwachia!
 
Nobody complained when Rogo was killed, in fact almost all Kenyans appreciated the government for the good work. I myself am happy for the killing of Rogo and Makaburi.But the case of Azory nobody is happy Magufuli and his sycophants like you.
No body complained because Kenya is Banana Republic, lives of Kenyans are valueless compare to other Nations, that's why Kenyans are killed every day especially during and after elections with impunity, no wonder Kenya tops Africa in police killings.

Not only Abound Rogo, what about
1) Chris Msando
2) Jacob JUMA
All these are terrorists?
 
Osama alikamatwa akapelekwa mahakamani? Saadam alikamatwa akapelekwa mahakamani? Rogo alishawai kamatwa na kupelekwa Kamiti maximum prison for six yrs and he didn't slow down, ilibidi auliwe na story take isaulike. We as Kenyans supported the killing.
Sadam alikuwa terrorist, alofanyiwa sadam ni unyang'au tu kama nyinyi mlivyo. Na anayesupport nae ni nyang'au
 
As you can remember after the killing of Aboud Rogo and Shaik Ibrahim Al Shaabab responded by attacking westgate mall killing 67 people. Now tell me, if they were not a terrorist why then did Al Shaabab retaliate to their killing?
No body complained because Kenya is Banana Republic, lives of Kenyans are valueless compare to other Nations, that's why Kenyans are killed every day especially during and after elections with impunity, no wonder Kenya tops Africa in police killings.

Not only Abound Rogo, what about
1) Chris Msando
2) Jacob JUMA
All these are terrorists?
 
As you can remember after the killing of Aboud Rogo and Shaik Ibrahim Al Shaabab responded by attacking westgate mall killing 67 people. Now tell me, if they were not a terrorist why then did Al Shaabab retaliate to his killing?
That question better ask your judiciary.
Please can you give explanation on behalf of your banana republic why it killed
1)Catholic pastor, just because he denounced GoK killings.
2) Chris Msando
3)Jacob JUMA

Just to know why they were killed?
 
As you can remember after the killing of Aboud Rogo and Shaik Ibrahim Al Shaabab responded by attacking westgate mall killing 67 people. Now tell me, if they were not a terrorist why then did Al Shaabab retaliate to his killing?
Kwahiyo nyie mliua wawili wao wakaua 68. Hahahah kituko ka hiki unakikuta Kenya pekee
 
Kenya acheni kushangilia kufeli kwa breki za gari letu. tatizO mmezoe kuendeaha gari lenu Bora kila mara na sasa mnajilinganisha nasi
 
Tuache kulialia. Ni kweli mambo yanayoendelea hapa nchini kuna viashiria vya udictetor. Au kwa sababu wamesema wakenya? Wangesema wamarekani mngeona ni sawa.

Kuna ukandamizaji mkubwa wa haki za kiraia hapa nchini....
 
Huo ukandamizaji ni upi au mi sio RAIA wa tz maana sioni huo udictator

Back
Top Bottom