Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #121
Mbona Dodoma hawapajui lakini wanapaita makao makuu ya nchi? Watanzania wote ni ndugu kumbuka hilo. Mbona Mzee Kikwete na Mama Salma wanavaa mavazi ya makabila mengine na wako poa tu? Hao wazee wasivae kwani wao ni akina nani?Vazi linapaswa li emerge kutokana na tamaduni za watu husika siyo watu kubebeshwa mavazi wasiyoyajua.
Waliopeleka makao makuu Dodoma kwa wagogo walifanya utafiti gani?Ulipaswa kufanya utafiti wako vizuri kabla ya kuja na mada kama hizi.
Mbona mzee Ole Sendeka anavaa sana nguo za kimasai na hayo maumbile yake hayabaki wazi? Matatizo ya watu kadhaa ndani ya jamii hayapaswi kutumika katika kutoa hukumu kwa jamii nzima (wamaasai)Najaribu kuwaza uwaambie wazee wa kichaga (na walivyo jeuri) wakavae mashuka ya kimasai yanayowafanya watembee makalio yakiwa wazi, hili haliwezekani.
Tufafanulie wewe basi mzee babaHamuelewei ni jinsi gani mavazi yanakuwa maarufu na kupendwa na watu hadi yanavaliwa na kila mtu bila hata kuamuliwa na vikao?
Tufafanulie wewe basi mzee baba
Mkuu, kama vazi la taifa ni ushamba kwa maoni yako sawa ila kwa maoni yangu mimi na wengine huo sio ushamba hata kidogo.
Mbona Dodoma hawapajui lakini wanapaita makao makuu ya nchi? Watanzania wote ni ndugu kumbuka hilo. Mbona Mzee Kikwete na Mama Salma wanavaa mavazi ya makabila mengine na wako poa tu? Hao wazee wasivae kwani wao ni akina nani?
Labda hujui vizuri nguo za Kimasai, Ole Sendeka huwa hapigi full, huwa anavaa suti zake na juu anaweka shuka moja. Vazi la Kimasai ni full mashuka na yana style yake ya ufungaji. Sasa niambie ni lini ulimwona Ole Sendeka kapiga full shuka.Mbona mzee Ole Sendeka anavaa sana nguo za kimasai na hayo maumbile yake hayabaki wazi? Matatizo ya watu kadhaa ndani ya jamii hayapaswi kutumika katika kutoa hukumu kwa jamii nzima (wamaasai)
Sioni ni namna gani inahusiana na mada husika, Makao Makuu hayakuwekwa Dodoma simply kwa sababu ya Wagogo bali kutokana na geographical position hasa hasa kutokana na sababu za kiusalama tu. Hili huwa linafundishwa hata shule za msingi, kwa nini Dodoma ikawa Makao Makuu.Waliopeleka makao makuu Dodoma kwa wagogo walifanya utafiti gani?
Unachanganya vitu vingi sana, eneo kuwa makao makuu huwa na sababu tofauti na zile za vazi la taifa. Eneo linaweza kuwa makao makuu kutikana na sababu za kiusalama, sababu za kijiographia, historia ya eneo husika etc. hili haliegemei kivile katika tamaduni za watu husika.Mbona Dodoma hawapajui lakini wanapaita makao makuu ya nchi? Watanzania wote ni ndugu kumbuka hilo. Mbona Mzee Kikwete na Mama Salma wanavaa mavazi ya makabila mengine na wako poa tu? Hao wazee wasivae kwani wao ni akina nani?
Hayo mavazi ma-5 pia yanaweza kuwa ya kitaifa kwa sababu ya kujenga mshikamano na umoja wa kikabila...Unachanganya vitu vingi sana, eneo kuwa makao makuu huwa na sababu tofauti na zile za vazi la taifa. Eneo linaweza kuwa makao makuu kutikana na sababu za kiusalama, sababu za kijiographia, historia ya eneo husika
Mbona Nairobi haipo katikati ya nchi ya Kenya?...Sioni ni namna gani inahusiana na mada husika, Makao Makuu hayakuwekwa Dodoma simply kwa sababu ya Wagogo bali kutokana na geographical position hasa hasa kutokana na sababu za kiusalama tu.
This is a lie bro.Hili huwa linafundishwa hata shule za msingi, kwa nini Dodoma ikawa Makao Makuu.
For sureThis is a lie bro.
Nairobi mbona ipo Uganda mkuu. Haipo KenyaMbona Nairobi haipo katikati ya nchi ya Kenya?...
Nairobi ipo Kenya mkuu acha uzushiNairobi mbona ipo Uganda mkuu. Haipo Kenya
YesFor sure
Kwanini mkuu?This is a lie bro.