Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
 
Umerudisha form lakini 😀
 
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
Huo utakuwa wa kwako mwenyewe na GENGE la Samia Suluhu Hassan. Huo utakuwa siyo wa waTanzania.
Yaani watu mmejisahau na kudhani nchi hii ni mali yenu?
 
Kweli!

KAZI na utu ,tunasonga mbele!

Mitano tena Kwa CCM na mwenyekiti wake!
 
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
Unajifariji sana. HAKUNA MABADILIKO HAKUNA UCHAGUZI ,

OLE WAKE MWANANCHI NATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
 
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
Na utuambie wewe ni mjumbe wa taifa,shina ama kata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…