Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia!
Tutasubiri sana!
Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama!
Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya miaka mitano kila kitu hujengwa kurejea sawa!
Sasa jiulize Tanzania hatuna vita, lakini barabara tangu Uhuru ndo tunajenga sasa, tangu Uhuru umeme bado wa mgao, tangu Uhuru madarasa hayatoshi, tangu Uhuru hatuna bima kwa wote, tangu Uhuru wanainchi bado wanategemea pantoni kuvuka miji mhimu, tangu Uhuru hatuna usafiri wa uhakika!
Sasa jiulize hapo hatuna vita! JE ikitokea tukapigana vita Madaraja yakavunjwa je tutayarejesha lini?
Miundombinu ya umeme ikilipuliwa tutairejesha tena kwa mda gan? Majengo yakivunjwa yatajengwa tena kwa mda gan?
Kama kila mradi unaojengwa tanzania huwa haukamiliki pasipo mafisadi 10 kutumbuliwa, Je;
watanzania tunastahili kuendelea kujitawala?
TUMESHINDWA NINI KUPITISHA SHERIA YA KUNYONGA WAPIGAJI!? Tunaogopa nini?
Inakuwaje mtu anaetia mimba mtoto wa shule afungwe miaka 30 jela ili asilee mwanae!
Halafu Fisadi anaehujumu madarasa yasijengwe akaishia kutumbuliwa ili akatumie pesa vizuri?,
Inakuwaje anaekula pesa za madawa akaachwa salama, inakuaje anaekula pesa za miundombinu akaishia kutumbuliwa?
Kama haujanielewa, chukua umri wako wa sasa jumlisha miaka 13 ijayo ya uongozi mpya ndipo utanielewa! Miaka 13 ijayo wengi mtakuwa mmezeeka!
Wakoloni wanaumhimu mkubwa sana kuliko matarajio ya wengi!