Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

Ili tuendelee lazima tukubali kuacha kushabikia siasa kama dini au ushabiki wa mpira. Tuwahukumu wanasiasa kwa haki na siyo ushabiki. Asiyefanya wajibu wake aondolewe, basi.
 
Vita tuli
kiongozi kumbuka Tanzania tumepigana na kushiriki katika vita nyingi pia.

Vita ya ukombozi wa kusini mwa Afrika, Vita ya Kagera, nk
tuliyopigana direct kama Nchi ni vita ya Kagera tu !! Wote tuliokuwepo tulishiriki kwa namna moja au nyingine !! I stand to be corrected !
 
Hii ni ya kuonesha ni jinsi gani ulivyo doubt uongozi wa nchi wa sasa na pia awamu zote...
pakuanzia ni kuwauliza wananchi, hivi maendeleo maana yake ni nini? Wakisha jitambua watayadai...

Kwa sasa hawajui maana yake ndio maana hawana mpango wa kuyadai...siku wakijua maendeleo ni nini, watajaa barabarani kuyadai...kwa sasa ni watu wachache tu wanaodai maendeleo kwa niaba ya wananchi ili wao wenyewe Hawana habari nao...
Tuanzie na kuwaamusha wajue ili wayadai...
 
Nchi za kiafrica zilifikiri kujiongoza ni kazi nyepesi - zote zinahaha - zimeshindwa kuweka mifumo dhabiti ili zijipatie maendeleo kwa haraka.
Zimegeuka omba omba kila kukicha! Yaani kitu kuomba tu!
 
Kina polepole au?
 
Ili tuendelee lazima tukubali kuacha kushabikia siasa kama dini au ushabiki wa mpira. Tuwahukumu wanasiasa kwa haki na siyo ushabiki. Asiyefanya wajibu wake aondolewe, basi.
Umejaribu kuwaza baada ya miaka 13 mbele utakuwa na umri gan?
 
Na hapo tulipata uhuru wa mezani. Wazungu wangebomoa reli yao ya kati je na shule?
 
Hii FRUSTRATION yako ni ya kiwango cha juu sana. Haiwezi kutibiwa hapa JF. unaongelea ukoloni wakati huujui ukoloni. Kwa akili yako unaona miaka 60 Tanzania haijapiga hatua, wewe ni poyoyo. Kwa akili yako unadhani wazungu wote ni matajiri hawana maskini!! wewe ni popoma.

Unataka watu wanyongwe kinyume na mkataba wa haki za binadamu ambao nchi yetu imeuridhia.
 
Ndo maana China walirndelea hawafungamani sheria za kinafiki namna hiyo!
Mtu anakula pesa za umma zinazotakiwa kujenga shule, hospital, madawa halafu useme Atalindwa na HAKI YA BINADAM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…