Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Cape Verde wazuri aisee! Labda kipindi cha pili maajabu yatatokea zaidi kwa Tz kama ya MAN U.
 
Soka halichezwi mdomoni mkuu
 
Reactions: Oii
England Mkuu hakuna kitu ni kelele tu za media ndio mana wakiingia kwenye ground wanakula kichapo kama mbwa mwizi...wale ni kelele tu mpira HAKUNA
 
Mleta uzi habari za carpe verde? wanasemaje huko?
 
Cape Verde wakija Dar watakuwa well displined. Watajilinda na kufanya surprise counter attacks.
Kiburi cha kuwa kwetu na kutaka ushindi kwa gharama yoyote, tutaacha mapengo nyuma na watakuwa tayari kuyatumia vilivyo. Wanao wachezaji wenye uwezo huo.
Kweli mchambuzi
 
Maridadi Cape Verde. Washabk Walojinunua Nw Hawana Neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…