Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Habari bossTusipangiane na tusilazimishane timu ya kushabikia Kila kheri Cape verde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari bossTusipangiane na tusilazimishane timu ya kushabikia Kila kheri Cape verde
Aiseee!Wala si kucheza nje sio Tija,Tija ni kua serious na kila kazi unayoifanya.Mbona hawahawa Cape verde walitandikwa goli 1 kwa 0 na Mganda nyumban kwake??Tatizo Tz wana maneno mengi kwenye kila kitu bila kua na mipango.Tz hatuez kufuzu Afcon kwa namna yyt ile kipindi hiki.Na nakuunga mkono,J4 tukipambana sana tunaambulia sare hiyo game Lakini hawaJamaa hatuwezi kuwafunga kwa mpira wetu wa hovyohovyo,Labda tuwafunge KAMBA
SIKU NYENGINE KUBAL CHA KWAKO KWANZA ...HATIMAYE TUMESHINDA SASA SIJUI UTAWEKA WAP SURA YAKOMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Tunakwenda Cameroon full stop.Kweli kabisa uwezo wa sisi kumfunga Cape verde haupo. Labda tutowe nao sare na ikitokea kamuujiza basi tutawafunga kamoja tena ka kibahati.
Mkuu,nimetengua kauli.Hakika vijana leo wametutoa kimasomaso.Mwalimu amejaribu kuwaingiza wachezaji wanaoweza kupambana na si wachezaji ilimradi.Kelvin Yondan'Koton',Kiungo kiraka Erasto Edward Nyoni nadhani nawe umeona utofauti.Mechi ile ya away kila mwenye kujua soka alikata Tamaa kutokana na mpir wa hovyo kabisa tuliocheza.Itoshe kwa hayoAiseee!
Nakupongeza kwa kutengua kauliMkuu,nimetengua kauli.Hakika vijana leo wametutoa kimasomaso.Mwalimu amejaribu kuwaingiza wachezaji wanaoweza kupambana na si wachezaji ilimradi.Kelvin Yondan'Koton',Kiungo kiraka Erasto Edward Nyoni nadhani nawe umeona utofauti.Mechi ile ya away kila mwenye kujua soka alikata Tamaa kutokana na mpir wa hovyo kabisa tuliocheza.Itoshe kwa hayo
Ili twende Cameroon inatakiwa tuwe na point ngapi?Tunakwenda Cameroon full stop.
1 win and 1 draw, tutakuwa tumenaliza kaziIli twende Cameroon inatakiwa tuwe na point ngapi?
Tunacheza na Nani ?1 win and 1 draw, tutakuwa tumenaliza kazi
Tunacheza na Resotho Away, alafu tunamaliza na Uganda hapa nyumbani. Pia tumwombee Uganda ashinde mechi ya Leo, na pia ashinde mechi ijayo na Cape Verde. Hii it a turacos is is his kazi.Tunacheza na Nani ?
Tunacheza na Resotho Away, alafu tunamaliza na Uganda hapa nyumbani. Pia tumwombee Uganda ashinde mechi ya Leo, na pia ashinde mechi ijayo na Cape Verde. Hii it a turacos is is his kazi.
Ha ha haUkitekwa unaaza kulia na familia yako inaaza kuomba msaada [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kabadili gia baada ya matokeoWewe mbao za mawe tulibishana mchana ukisema tanzania ata fungwa tena
1 draw with Uganda and 1 win with Lesotho. Or 1 win with Uganda and 1 win with Lesotho. Cameroon njia nyeupe. Dreamliner iandaliwe tu ya kuipeleka team pamoja na mashabiki.1 win and 1 draw, tutakuwa tumenaliza kazi