Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kwanin huoneshi support katika team ya taifa lako na ukizingatia wew ni shabiki mzur wa moja ya team nzuri hapa tz.Hahahaaa. Umefanya nione aibu hapa nilipo aiseeee.
Haya Hatar kwenye nini Mkuu?
Hahahaaaa. Mbona Signature yako sijaiona sasa Mkuu.
ππππhahahahhahhahahahahha hakuna namna.
Mie pia Alhamdulillah mdogo wangu uzima ninao.Alhamdulillah
Hofu kwako Dada yangu
Hahahaaa. Uzalendo upo ila sasa naogopa hiyo presha maana hii niliyonayo kwa Yanga inatosha. πππKwanin huoneshi support katika team ya taifa lako na ukizingatia wew ni shabiki mzur wa moja ya team nzuri hapa tz.
Presha inapanda na kushuka tu hapa mjini, ukizingatia Dau nono la 1B lipo mezani....Mie pia Alhamdulillah mdogo wangu uzima ninao.
Adimu sana ndipo weye.
Hahahaaaa. Umeonaeeee.Presha inapanda na kushuka tu hapa mjini, ukizingatia Dau nono la 1B lipo mezani....
Ngoja nitafute siku tuje tunywe japo maji kwa pamoja itaweza kushusha hii presha
Vipi mkuu upo huko Cape Verde? Habari za huko? Nasikia wamelokota munyavu mara mbili tu.MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Vipi mzee wa Cape Verde upo?Yajayo hayafurahishi hata kidogo,hakuna cha Samatta wala mdogo wake Samatta,timu yetu ni butu butu butuuuuuuuuuuuuuu
Sawa Dada yangu, kwa sasa nipo pembezoni mwa mji.Hahahaaaa. Umeonaeeee.
Usijali mdogo wangu tuombe uzima Insha Allah.
πsignature yangu bado ipo under construction.Hahahaaaa. Mbona Signature yako sijaiona sasa Mkuu.
Kabisaaaa mpira dk 90 japokuwa kuna baadhi ya mechi zile dk 90 zinakuwa kutimiza tu sheria za mpira wa miguu ila nje ya hapo matokeo yanakuwa yameshajulikana. ππππ
Tatizo unamapenzi ya kujificha[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona jna wamepigna kuleta matokeo mazur katika taifa.Hahahaaa. Uzalendo upo ila sasa naogopa hiyo presha maana hii niliyonayo kwa Yanga inatosha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchawi sio mpaka ubebe ma tunguri au upae na ungo hata huu ni uchawi piaMWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67
Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini
KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA
1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril
AISHI MANULA
Simba
2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani
2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia
3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league
3.Gadiel michael
Yanga
4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno
4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi
5:AGREY
AZAM FC
6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi
6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL
7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno
7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt
8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA
8:MUDATHIRI
AZAM
9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE
9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN
10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA
10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE
11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno
11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco
hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???
Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,
Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza
Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Hapana mkuuu tutake radhi mashabiki wa wa arsenal bhana,uyu sio mwenzetu kabisaMshabiki wa arsenal huyu
ππππ sawa mdogo wangu. Wacha leo niwe mCape Verde leo. ππππππSawa Dada yangu, kwa sasa nipo pembezoni mwa mji.
Nikirudi mjini nitakutafuta, hizi ahadi zimekuwa nyingi kama za bwana mkubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hii nahakikisha ikamilike kabisa
Dawa ya wasaliti ipo jikoni, tusije kulaumiana baadae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mdogo wangu. Wacha leo niwe mCape Verde leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa Taifa Stars msinimeze jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahaaa. Haya iandae Mkuu ikiwa tayari iweke niione.πsignature yangu bado ipo under construction.
sawa mkuu naona umekaza vidole kabisa kunikatisha tamaa na timu yanguπ mbichi na mbivu tutazijua hapa hapa usibadili ID
Hahahaaa. Lol.Tatizo unamapenzi ya kujificha[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona jna wamepigna kuleta matokeo mazur katika taifa.
Taifa ni wewe.