Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

"kila penye uzito wepesi upo" Hajar
mpira ni dakika 90 tusubiri siku ifike,
"dont remember to forget" kacnia.
Hahahaaaa. Mbona Signature yako sijaiona sasa Mkuu.

Kabisaaaa mpira dk 90 japokuwa kuna baadhi ya mechi zile dk 90 zinakuwa kutimiza tu sheria za mpira wa miguu ila nje ya hapo matokeo yanakuwa yameshajulikana. 😂😂😂😂
 
MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67

Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini

KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA

1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril

AISHI MANULA
Simba

2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani

2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia

3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league

3.Gadiel michael
Yanga

4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno

4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi

5:AGREY
AZAM FC

6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi

6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL

7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno

7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt

8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA

8:MUDATHIRI
AZAM

9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE

9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN

10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA

10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE

11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno

11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco

hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???

Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,

Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza

Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Vipi mkuu upo huko Cape Verde? Habari za huko? Nasikia wamelokota munyavu mara mbili tu.
 
Hahahaaaa. Mbona Signature yako sijaiona sasa Mkuu.

Kabisaaaa mpira dk 90 japokuwa kuna baadhi ya mechi zile dk 90 zinakuwa kutimiza tu sheria za mpira wa miguu ila nje ya hapo matokeo yanakuwa yameshajulikana. 😂😂😂😂
😀signature yangu bado ipo under construction.

sawa mkuu naona umekaza vidole kabisa kunikatisha tamaa na timu yangu😀 mbichi na mbivu tutazijua hapa hapa usibadili ID
 
MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182
Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67

Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini

KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE
na TANZANIA

1.THIERY GRACA
anacheza ligi kuu ya Ureno klabu ya Estril

AISHI MANULA
Simba

2.STOPIRA
anacheza videoton
Wanashiriki Europe league walifungwa 1:0 kwa tabu sana na Chelsea pale Darajani

2.KESSY
Nkana Red Devils Zambia

3.FERNANDO
anacheza PAOK salonike wanashiriki Europe league

3.Gadiel michael
Yanga

4.ALMEIDA
anacheza uniao madeira Ureno

4.MWANTIKA
Azam
5:NUNo ROCHA
Anacheza Tosno ya ligi one Urusi

5:AGREY
AZAM FC

6:JANILO
Anacheza HERACLES ligi kuu ya Uholanzi

6.Abdi BANDA
BARoka fc LIGI KUU YA SAPL

7:CARLos
Anacheza Aves ligi kuu Ureno

7:Himid Mao
Petrojet ligi kuu ya Egypt

8:Tavales
Mchezaji tegemeo wa DIJON ya ligi kuu ya UFARANSA

8:MUDATHIRI
AZAM

9:ZE LUIS
Anacheza SPARTAK MOSCOW ya ligi kuu ya URUSI na wanacheza EUROPE LEAGUE

9: ULIMWENGU
LIGI KUU YA SUDAN

10: GARY RoDRIGUEZ
Straika tegemez wa GALATASARAY ya Uturuki wanashiriki UEFA

10:SAMATA
GENK .. EUROPE LEAGUE

11:KUCA
Anacheza Boavista ligi kuu Ureno

11:MSUVA
Difaar Hasan Al Jaadid ligi kuu ya Morocco

hawa ni wachezaji 11 wa pande zote mbili...sasa Hivi kweli bado unamlaumu Amunike kwa kipigo cha juzi...???

Eti kamuacha mkude,kichuya,nyoni,yndani,

Hebu tuweni na AIBU ukweli ni kuwa hatuna wachezaji wa kutupa matokeo chanya yenye muendelezo MPIRA NI SAYANSI sio blah blah wenzetu wanawekeza sisi tunasubiri miujiza

Tusubiri kwanza mpaka tutakapo amua kuwa serious...hii ni kwa yule binti ambae alisema Cape Verde ni wa kawaida *SAAAANA*
Uchawi sio mpaka ubebe ma tunguri au upae na ungo hata huu ni uchawi pia
 
Sawa Dada yangu, kwa sasa nipo pembezoni mwa mji.

Nikirudi mjini nitakutafuta, hizi ahadi zimekuwa nyingi kama za bwana mkubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], hii nahakikisha ikamilike kabisa
😂😂😂😂 sawa mdogo wangu. Wacha leo niwe mCape Verde leo. 😂😂😂😂😂😂

Wa Taifa Stars msinimeze jamaani. 🙈🙈🙈
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mdogo wangu. Wacha leo niwe mCape Verde leo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wa Taifa Stars msinimeze jamaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Dawa ya wasaliti ipo jikoni, tusije kulaumiana baadae[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😀signature yangu bado ipo under construction.

sawa mkuu naona umekaza vidole kabisa kunikatisha tamaa na timu yangu😀 mbichi na mbivu tutazijua hapa hapa usibadili ID
Hahahaaa. Haya iandae Mkuu ikiwa tayari iweke niione.

Hahahaaaaa. Wala usihofu mie nipo Mkuu.
 
Back
Top Bottom