Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi

Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye kuchakata kwa hiyo smelter hazitakuwa na ulazima wa kutumia umeme tulio nao ambao ni mdogo sana

Faida ya smelter za copper Tanzania
  • Vifaa vingi vya electronic vitakuwa vinazishwa Tanzania badala ya kuwa imported kama ilivyo sasa hii itaongeza mapato kwa serikali maradufu
  • Mikoa ya rukwa na katavi itapata maendeleo kwa uwepo wa hizi smelter za copper
Ni vizuri kama nchi ikachangamkia hii fursa ambayo kwa miaka mingi tumeshindwa kuichangamkia
 
Ngoja tuone watakao chaguliwa October 2025 kama watakusikiliza
 
Raw materials ziwe imported toka DRC au tuna za kuanzia? au TUWE kama Rwanda kwenye cobalt? Economies of scale for refinery to be viable economically?
 
Tunawaza uchaguzi bosi.
Ukiisha uchaguzi mmoja ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine, hayo mambo hatuumizi vichwa.
 
Rwanda ana smelter za dhahabu na export dhahabu huku hana mgodi hata mmoja wa dhahabu, Rwanda huyo huyo anauza Cotan na Tantanium ilihali hachimbi na wala hamiliki mgodi.

Sisi tuna madini ya kila aina, hata hiyo Copper nina uhakika kuna mahala ipo japo kwa kiasi kidogo lakini bado tunaishiishi tu kizembe.

Tukiwaambia hata mifumo ya kijasusi sasa imebadirika bado hatuelewi tunaendelea kuajiri makada na sio watu wenye akili timamu wenye uwezo wa kuwaza extra miles mbele na tukawa ahead of time.
Baadala yake tuko busy kupambana na CDM na wananchi wenyewe kila wakiwa wanatukosoa huku tukitumia gharama kubwa kufanya sugar coating na kujenga fake economic ili kuwadanganyia wananchi.
 
Kile chuma cha Liganga na Mchuchuma kimebaki story za alinacha kila siku.

Mwenyezi Mungu alivyokuwa wa ajabu ametuba chuma ukanda ule, akatuma na makaa ya mawe ukanda ule ule halafu akatupa Gas ukanda ule ule wa kusini na bado haitoshi akatuma Uranium.

Hivyo vyote combined maana yake Kusini, nyanda za juu Kusini na ukanda wote ingekuwa kama au zaidi ya GCC matokeo yake bado ni eneo masikini ambalo watu wake wanategemea kilimo cha jembe la mkono na kumsubiri Mkenya aje anunue parachichi alipeleke Kenya then afanye exportation for brand name ya Kenya.
 
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi

Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye kuchakata kwa hiyo smelter hazitakuwa na ulazima wa kutumia umeme tulio nao ambao ni mdogo sana

Faida ya smelter za copper Tanzania
  • Vifaa vingi vya electronic vitakuwa vinazishwa Tanzania badala ya kuwa imported kama ilivyo sasa hii itaongeza mapato kwa serikali maradufu
  • Mikoa ya rukwa na katavi itapata maendeleo kwa uwepo wa hizi smelter za copper
Ni vizuri kama nchi ikachangamkia hii fursa ambayo kwa miaka mingi tumeshindwa kuichangamkia
Gharama za uzalishaji tanzania ni kubwa sana usishangae hyo copper ikawa bei juu mpk mkakosa wateja wa kuwauzia
 
Gharama haziwezi kuwa juu kwa sababu njia itakayotumika ni blast furnance ambayo makaa ya mawe ndo fuel sasa hizo gharama zitakuwaje juu
 
Rwanda ana smelter za dhahabu na export dhahabu huku hana mgodi hata mmoja wa dhahabu, Rwanda huyo huyo anauza Cotan na Tantanium ilihali hachimbi na wala hamiliki mgodi.

Sisi tuna madini ya kila aina, hata hiyo Copper nina uhakika kuna mahala ipo japo kwa kiasi kidogo lakini bado tunaishiishi tu kizembe.

Tukiwaambia hata mifumo ya kijasusi sasa imebadirika bado hatuelewi tunaendelea kuajiri makada na sio watu wenye akili timamu wenye uwezo wa kuwaza extra miles mbele na tukawa ahead of time.
Baadala yake tuko busy kupambana na CDM na wananchi wenyewe kila wakiwa wanatukosoa huku tukitumia gharama kubwa kufanya sugar coating na kujenga fake economic ili kuwadanganyia wananchi.
Rwanda ana smelter za dhahabu na export dhahabu huku hana mgodi hata mmoja wa dhahabu, Rwanda huyo huyo anauza Cotan na Tantanium ilihali hachimbi na wala hamiliki mgodi.

Sisi tuna madini ya kila aina, hata hiyo Copper nina uhakika kuna mahala ipo japo kwa kiasi kidogo lakini bado tunaishiishi tu kizembe.

Tukiwaambia hata mifumo ya kijasusi sasa imebadirika bado hatuelewi tunaendelea kuajiri makada na sio watu wenye akili timamu wenye uwezo wa kuwaza extra miles mbele na tukawa ahead of time.
Baadala yake tuko busy kupambana na CDM na wananchi wenyewe kila wakiwa wanatukosoa huku tukitumia gharama kubwa kufanya sugar coating na kujenga fake economic ili kuwadanganyia wananchi.
Kama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
 
hawalijuwi hilo wenzio
 
Kama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
Wizi
Wizi
Wizi
Pesa anayoitengeneza dp pale port ilikua inatengenezwa vizuri tu na tpa ila jiulize huko serikalini ilikua inaingia bei gani???? Mpaka mkuu wa nchi akaamua kuibinafsisha
 
Kama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
Uthubu Kaka.
Pia ubinafsi na kukosa ubunifu jumlisha na matumizi mabaya ya elimu tuliyopata ndani na nje ya nchi.
Wenye kufanya maamuzi na ku-allocate fund wakati wa budget planning kipaumbele chao kulinda kura na kula yao.
 
I'm sure Magufuli na mapungufu yake yote angekuwa hai madarakani miaka mingine 4 angejenga smelter ya kuchakata makinikia ya dhahabu.
 
Waafrika tuna akili fupi sana
tunaamini maisha ni mafupi

kuna msemo wanasema ,chukuwa chako mapema maana hujui ya Kesho

hii inatengeneza ubinafsi ndo maana hata elimu haitusaidii kabisa

na ukiona kiongozi amekomaa sana kwenye jambo fulani ujue ana maslahi binafsi hapo
na wala si kwa manufaa ya vizazi vijavyo
 
Gharama haziwezi kuwa juu kwa sababu njia itakayotumika ni blast furnance ambayo makaa ya mawe ndo fuel sasa hizo gharama zitakuwaje juu
Ww km hujawahi kuanzisha biashara yoyote utabisha lakini kinachopandisha production cost moja wapo ni msululu wa kodi hyo copper itakayozalishwa hapo hyo bei yako haitoweza kushindana sokoni,ndio maana wafanyabiashara wengi wanaona kuanzisha viwanda ni bora akaagize bidhaa tu kwa brand yake
 
Kwani hizo kodi haziwezi ondolewa au kupunguzwa
 
Back
Top Bottom