Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ngoja tuone watakao chaguliwa October 2025 kama watakusikilizaCopper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi
Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye kuchakata kwa hiyo smelter hazitakuwa na ulazima wa kutumia umeme tulio nao ambao ni mdogo sana
Faida ya smelter za copper Tanzania
Ni vizuri kama nchi ikachangamkia hii fursa ambayo kwa miaka mingi tumeshindwa kuichangamkia
- Vifaa vingi vya electronic vitakuwa vinazishwa Tanzania badala ya kuwa imported kama ilivyo sasa hii itaongeza mapato kwa serikali maradufu
- Mikoa ya rukwa na katavi itapata maendeleo kwa uwepo wa hizi smelter za copper
Ni muhimu sana na inafaida kubwa kwa nchiNgoja tuone watakao chaguliwa October 2025 kama watakusikiliza
kwa kweliNgoja tuone watakao chaguliwa October 2025 kama watakusikiliza
Gharama za uzalishaji tanzania ni kubwa sana usishangae hyo copper ikawa bei juu mpk mkakosa wateja wa kuwauziaCopper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi
Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye kuchakata kwa hiyo smelter hazitakuwa na ulazima wa kutumia umeme tulio nao ambao ni mdogo sana
Faida ya smelter za copper Tanzania
Ni vizuri kama nchi ikachangamkia hii fursa ambayo kwa miaka mingi tumeshindwa kuichangamkia
- Vifaa vingi vya electronic vitakuwa vinazishwa Tanzania badala ya kuwa imported kama ilivyo sasa hii itaongeza mapato kwa serikali maradufu
- Mikoa ya rukwa na katavi itapata maendeleo kwa uwepo wa hizi smelter za copper
Gharama haziwezi kuwa juu kwa sababu njia itakayotumika ni blast furnance ambayo makaa ya mawe ndo fuel sasa hizo gharama zitakuwaje juuGharama za uzalishaji tanzania ni kubwa sana usishangae hyo copper ikawa bei juu mpk mkakosa wateja wa kuwauzia
Rwanda ana smelter za dhahabu na export dhahabu huku hana mgodi hata mmoja wa dhahabu, Rwanda huyo huyo anauza Cotan na Tantanium ilihali hachimbi na wala hamiliki mgodi.
Sisi tuna madini ya kila aina, hata hiyo Copper nina uhakika kuna mahala ipo japo kwa kiasi kidogo lakini bado tunaishiishi tu kizembe.
Tukiwaambia hata mifumo ya kijasusi sasa imebadirika bado hatuelewi tunaendelea kuajiri makada na sio watu wenye akili timamu wenye uwezo wa kuwaza extra miles mbele na tukawa ahead of time.
Baadala yake tuko busy kupambana na CDM na wananchi wenyewe kila wakiwa wanatukosoa huku tukitumia gharama kubwa kufanya sugar coating na kujenga fake economic ili kuwadanganyia wananchi.
Kama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refineryRwanda ana smelter za dhahabu na export dhahabu huku hana mgodi hata mmoja wa dhahabu, Rwanda huyo huyo anauza Cotan na Tantanium ilihali hachimbi na wala hamiliki mgodi.
Sisi tuna madini ya kila aina, hata hiyo Copper nina uhakika kuna mahala ipo japo kwa kiasi kidogo lakini bado tunaishiishi tu kizembe.
Tukiwaambia hata mifumo ya kijasusi sasa imebadirika bado hatuelewi tunaendelea kuajiri makada na sio watu wenye akili timamu wenye uwezo wa kuwaza extra miles mbele na tukawa ahead of time.
Baadala yake tuko busy kupambana na CDM na wananchi wenyewe kila wakiwa wanatukosoa huku tukitumia gharama kubwa kufanya sugar coating na kujenga fake economic ili kuwadanganyia wananchi.
hawalijuwi hilo wenzioKama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
WiziKama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
Uthubu Kaka.Kama nchi ilikuwa na uwezo wa kutengeneza smelter za dhahabu mda sana hata story za makinikia zisingekuwepo mfano kila mwaka Tanzania inanua magari ya almost billions 300 hii fedha inatosha kujenga world-class refinery
Ww km hujawahi kuanzisha biashara yoyote utabisha lakini kinachopandisha production cost moja wapo ni msululu wa kodi hyo copper itakayozalishwa hapo hyo bei yako haitoweza kushindana sokoni,ndio maana wafanyabiashara wengi wanaona kuanzisha viwanda ni bora akaagize bidhaa tu kwa brand yakeGharama haziwezi kuwa juu kwa sababu njia itakayotumika ni blast furnance ambayo makaa ya mawe ndo fuel sasa hizo gharama zitakuwaje juu
Kwani hizo kodi haziwezi ondolewa au kupunguzwaWw km hujawahi kuanzisha biashara yoyote utabisha lakini kinachopandisha production cost moja wapo ni msululu wa kodi hyo copper itakayozalishwa hapo hyo bei yako haitoweza kushindana sokoni,ndio maana wafanyabiashara wengi wanaona kuanzisha viwanda ni bora akaagize bidhaa tu kwa brand yake