Uganda kama mapoyoyoUganda umalaya umezidi. Kenya ukabila umetamalaki. Bora tubaki na Tanganyika yetu
kule hakuna ardhi, ardhi ipo tanzania na ndiyo wanaitaka kwa udi na uvumbaSasa na watanzania si mtakuwa na uwezo wa kwenda kumiliki ardhi kenya na uganda au kuna shido
Ilishindikana kutokana na hulka ya ulafi wa jirani, kwani amebadilika?Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.
Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Kenya akili nyingiUganda umalaya umezidi. Kenya ukabila umetamalaki. Bora tubaki na Tanganyika yetu
BoraMtu akiwa malaya wewe inakuathiri vipi?
Tanzania ujinga umezidi
sisis bado tumelala uzingiziNaomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.
Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Kweli duniani wawili wawili, wewe umekua wawili wangu kimawazo,.Mkuu una hoja.
Naunga mkono.
Lakini Kabla hatujafikiria kuungana na nchi ya Kenya iliyojaa ukabila na Uganda kwanza tungerudi kwenye Muungano wetu wa kale (wa kikoloni) "German Deutsch Ostafrika".
Yaani Tanganyika, Rwanda na Burundi, wakati huo zikitawaliwa na Ujerumani.
Natamani sana kuona Muungano baina yetu na mataifa hayo mawili kabla hatujaungana na wakikuyu wanaoishi kwenye mateso ya ukabila.
Hata ikiwa ni ruto sawa pia.Ni kweli na raisi awe mama ttu
Sisi TZ tuna madiniNaomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,
Naam ni nchi moja.
Alafu tunakuwa na kiongozi mmoja, huku hawa maraisi wa hizi nchi wanasimama kama mawaziri,.
Tunakuwa na bunge moja, sarafu moja, na sheria moja. Na hii imenivutia baada ya muungano wetu wa kuandaa CHAN na AFCON,.
Kuna watu watahisi kama kuna ugumu sana. Ila kwangu naona ni majambo mema yatakayo pelekea kukua kwa uchumi wa nchi yetu kubwa ya TAUKE (yaani Tanzania uganda na kenya.) au tuuite umoja nchi za Afrika mashariki (USEA) united state of east Afrika.
Sawa Mkuu, na pia hapo kwenye wakenya kuwa na CV kali ndio itakuwa faida sasa kwa muungano wetu maana nchi itaongozwa na vijana wenye elimu kubwa na hiyo CV kali umeisemaHili wazo la kuungana Tanzania, Kenya na Uganda si baya, lakini tukifanya kwa pupa, linaweza kutuumiza sisi Watanzania.
Mfano wa haraka kabisa: siku sheria ya muungano itapitishwa, bei ya viwanja Dar es Salaam inaweza kupanda mara mbili au tatu. Wakenya na Waganda walio na mitaji mikubwa watanunua kwa kasi, sisi tukibaki tunaangalia au tunanunua kwa presha — bei inapanda zaidi.
Pia, ajira zitaingia kwenye ushindani mkali. Wakenya wana CV kali na wanajua kujitangaza, wanaweza kuchukua nafasi nyingi kabla ya sisi kuamka.
Vilevile, sheria za kodi, ardhi, mishahara na uraia ni tofauti. Tukichanganya pasipo mpango, tutajikuta tuna hasara kuliko faida.
Kwa kifupi: muungano uwe kwa akili, si kwa jazba.
Kwani kenya hawana chochote kituSisi TZ tuna madini
Mbona hata kuna mikoa ina migogoro ya wakulima na wafugaji je wewe ina kuathiri vipi,?Hili wazo halifai kabisa.
Litaleta hasara kubwa kuliko faida hasa kwa Tanzania.
Angalia tatizo kubwa la ajira Kenya na Tanzania, Je zikiungana huoni hali itakuwa mbaya sana.
Angalia usalama wa Kenya mdogo, Unataka Tanzania iwe target ya Al shabab.
Ardhi, muungano huu utaifaidisha Kenya sababu wao hawana Ardhi. Ila Tanzania kuna Ardhi kubwa. ( Ardhi ya watanzania Strictly ibaki kwa Watanzania).
Ukabila Kenya ni tatizo kubwa. Tanzania hakuna Mambo hayo.
Tanzania population inazidi kuongezeka na Wa Tanzania watahitaji Ardhi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Na Mambo mengine mengi.
Bado hakuna sababu ya Tanzania kuungana na Kenya.
Kwani itakuwa unataka labda Kuua Taifa la Tanzania.
Kenya ibaki kwa Wa Kenya na Tanzania ibaki kwa Wa Tanzania. Muungano huo hauna Faida yoyote Kwa Raia wa Tanzania hasa wenye uwezo wa chini na ndio walio wengi.
Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo mikoa yote Tanzania ambapo mfugaji atalisha mazao ya mkulima.Mbona hata kuna mikoa ina migogoro ya wakulima na wafugaji je wewe ina kuathiri vipi,?
Kiufupi kenya itakuwa kama sehemu ya mkoa wa nchi ya TAKEU na matatizo yake yataendelea bila kuihusisha na darasalama.
WatuambieKwani kenya hawana chochote kitu
Lbda Tanzania na Uganda,lakini Kenya,,,wale vijana wa GEN-Z watatuleta fujo!!Naomba sana viongozi wa hizi nchi tatu zifikilie kuungana na kuwa nchi moja,