Tanzania kills chicks worth Sh12.5m over Avian Flu fears

Mwingereza

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
1,115
Reaction score
2,771
qxkgnk63dar3lub59fc213710d56.jpg

NAIROBI, KENYA: A Tanzanian Non-Governmental organisation fears the country’s relations with Kenya may deteriorate following a decision to burn 6,400 chicks imported from Kenya on Tuesday. ALSO READ: How ARM aggressive expansion into Dar has left Pradeep in ‘tears’ According to Tanzanian media, the chicks worth Sh12.5 million were impounded at Namanga border town on Monday before being burnt on Tuesday.

It was reported that the destruction of the consignment came in the wake of illegal imports and fear of the spread of bird flu. The Tanzanian government banned the importation of chicks in 2007. Dar authorities said Tuesday’s destruction of the birds was in line with the country’s Animal Disease Act, 2003. Kenya and Tanzania have in the past disagreed on a number of issues; In June Tanzania protested Kenya’s decision to ban exportation of unprocessed foods. President John Pombe Magufuli's government has protested Kenya's decision to ban the importation of cooking gas and wheat from Tanzania, saying it is a breach of the East African Community (EAC) Common Market requirements.
Read more at: Tanzania burns chicks worth Sh12.5m over Avian Flu fears
 
Mara mia wangewaambia warudishe vifaranga vilikotoka ili vikauzwe soko la ndani ya kenya kuliko ushetani uliofanyika.

South Afirca walikataa consignment ya viazi vya uporoto Mbeya kwamba havifai kwa matumizi ya binadamu wala wanyama ndani ya SA. Hivyo mwenye navyo aliagizwa arudishe vilikotoka kwa kuwa vinakiwango kikubwa cha sumu. Waliondoka navyo kutoka ardhi ya Madiba wakajua walichokifanya na hivyo viazi baada ya kuvuka mipaka!.

Masuala mengine hayahitaji elimu ya ki diplomasia bali ubinadamu tu unaweza kufanya mtu akaamua discretionary negatively lakini bila kutesa viumbe wengine.

Tumepiga mnada ng'ombe za kutoka Kenya, ktu nilidhani kwa majirani na ujirani mwema, ilikuwa ni kuzikabidhi kwa serikali kwa masharti sahihi.

Sasa kenya nao wamekamata mangombe mengi zaidi ya kwetu, ambayo bila shaka nayo yatauzwa. Hii tit for tat, inajenga ujirani mwema?

Ubabe huu utatufikisha mahala sahihi na utaleta manufaa kwetu ukizingatia sisi ndio waasisi wa amani katika maziwa makuu na tuna raia kila sehemu katika ukand ahuu?

Ninachoomba ni wahusika kujaribu kuepeuka kuliingiza taifa katika maafa kwa sababu ya personalities disorders za watu wachache. Maslahi ya taifa yawe mbele kuliko kuingiza nchi kwenye hali tata kwa sababu ya egocentricity ya mtu na wafuasi wake. Hapana ni wachache sana kutuingiza matatizoni. Labda wakapigane mieleka wao wenyewe atakayeshindwa ameshindwa na atakayeshinda awe ameshinda. Lakini askari wetu,, kwa hili hapana!.
 
Mara mia wangewaambia warudishe vifaranga vilikotoka ili vikauzwe soko la ndani ya kenya kuliko ushetani uliofanyika.

South Afirca walikataa consignment ya viazi vya uporoto Mbeya kwamba havifai kwa matumizi ya binadamu wala wanyama ndani ya SA. Hivyo mwenye navyo aliagizwa arudishe vilikotoka kwa kuwa vinakiwango kikubwa cha sumu. Waliondoka navyo kutoka ardhi ya Madiba wakajua walichokifanya na hivyo viazi baada ya kuvuka mipaka!.

Masuala mengine hayahitaji elimu ya ki diplomasia bali ubinadamu tu unaweza kufanya mtu akaamua discretionary negatively lakini bila kutesa viumbe wengine.

Hivi kenya nao tunaweza labda kuwatisha kwa kutumia watu wetu wasiojulikana?
Ni hatari sana kwa awamu hii

Watu wanakurupuka kufanya mambo ili angalau warushwe kwenye midia kuwa wamefanya kitu bila kujali athari kwa watendewa, ndipo utagundua kuwa waliopewa dhamana hawana akili za kujiongeza.

Aliyeamuru upuuzi huu anapaswa kuadhibiwa vikali.
Wanyama wamekosa nini?

Endapo ingegundulika wana magonjwa kuwachoma ni sawa lkn kuangamiza wanyama bila sababu ya msingi kweli hiki kitendo ni cha kulaani milele yote
 
Inaumiza na kuudhi sana kwa kweli. Lakini kama watu sasa wanaona ufahari kuua binadamu hadharani, tena kwa sababu wanaona anawazidi akili na hoja, itakuwaje kwa wanyama? Hii ni dalili ya ukatili wa watu waliopewa uhuru wa kutoa maamuzi bila kufuata taratibu. Ni hatari na huzuni sana!
 
Naipenda serikali yangu,, kama umewahiii fanya Biashara ya kuingiza Kenya,, utajua ninachoimanisha
 
Inaumiza na kuudhi sana kwa kweli. Lakini kama watu sasa wanaona ufahari kuua binadamu hadharani, tena kwa sababu wanaona anawazidi akili na hoja, itakuwaje kwa wanyama? Hii ni dalili ya ukatili wa watu waliopewa uhuru wa kutoa maamuzi bila kufuata taratibu. Ni hatari na huzuni sana!
Dawa ni kulaani vitendo vyao kwa nguvu zote
 
qxkgnk63dar3lub59fc213710d56.jpg

NAIROBI, KENYA: A Tanzanian Non-Governmental organisation fears the country’s relations with Kenya may deteriorate following a decision to burn 6,400 chicks imported from Kenya on Tuesday. ALSO READ: How ARM aggressive expansion into Dar has left Pradeep in ‘tears’ According to Tanzanian media, the chicks worth Sh12.5 million were impounded at Namanga border town on Monday before being burnt on Tuesday.

It was reported that the destruction of the consignment came in the wake of illegal imports and fear of the spread of bird flu. The Tanzanian government banned the importation of chicks in 2007. Dar authorities said Tuesday’s destruction of the birds was in line with the country’s Animal Disease Act, 2003. Kenya and Tanzania have in the past disagreed on a number of issues; In June Tanzania protested Kenya’s decision to ban exportation of unprocessed foods. President John Pombe Magufuli's government has protested Kenya's decision to ban the importation of cooking gas and wheat from Tanzania, saying it is a breach of the East African Community (EAC) Common Market requirements.
Read more at: Tanzania burns chicks worth Sh12.5m over Avian Flu fears
Yan awamu hii imewafanya watendaji wa serikali kuwa na Ujasiri wa Kipumbavu...majitu yanafurahia tu mateso na sasa wameona kutesa raia haitoshi wameanza kutesa wanyama...ni UOVU UOVU UOVU tu hadi kikombe kijae!
 
Hayo maumivu hao vifaranga waliopata na vile vilio wakati wanachomwa kwa kweli hayatatuacha salama.. ni kitendo cha kikatili mno ambacho tuliwafanyia hawa viumbe wenzetu ambao kimsingi ni animalia tu kama sisi... Its totally barbaric and brutal
 
Back
Top Bottom