nguvu za nyani
Senior Member
- May 21, 2013
- 141
- 34
Mambo kama haya ni kichocheo cha mahusiano mabaya baina ya majirani. Hivyo vifaranga vingeweza kurejeshwa kuliko kuviharibu ndani ya nchi yetu Dr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wametunyanyasa sana , acha Magu awashughulikieMara mia wangewaambia warudishe vifaranga vilikotoka ili vikauzwe soko la ndani ya kenya kuliko ushetani uliofanyika.
South Afirca walikataa consignment ya viazi vya uporoto Mbeya kwamba havifai kwa matumizi ya binadamu wala wanyama ndani ya SA. Hivyo mwenye navyo aliagizwa arudishe vilikotoka kwa kuwa vinakiwango kikubwa cha sumu. Waliondoka navyo kutoka ardhi ya Madiba wakajua walichokifanya na hivyo viazi baada ya kuvuka mipaka!.
Masuala mengine hayahitaji elimu ya ki diplomasia bali ubinadamu tu unaweza kufanya mtu akaamua discretionary negatively lakini bila kutesa viumbe wengine.
Tumepiga mnada ng'ombe za kutoka Kenya, ktu nilidhani kwa majirani na ujirani mwema, ilikuwa ni kuzikabidhi kwa serikali kwa masharti sahihi.
Sasa kenya nao wamekamata mangombe mengi zaidi ya kwetu, ambayo bila shaka nayo yatauzwa. Hii tit for tat, inajenga ujirani mwema?
Ubabe huu utatufikisha mahala sahihi na utaleta manufaa kwetu ukizingatia sisi ndio waasisi wa amani katika maziwa makuu na tuna raia kila sehemu katika ukand ahuu?
Ninachoomba ni wahusika kujaribu kuepeuka kuliingiza taifa katika maafa kwa sababu ya personalities disorders za watu wachache. Maslahi ya taifa yawe mbele kuliko kuingiza nchi kwenye hali tata kwa sababu ya egocentricity ya mtu na wafuasi wake. Hapana ni wachache sana kutuingiza matatizoni. Labda wakapigane mieleka wao wenyewe atakayeshindwa ameshindwa na atakayeshinda awe ameshinda. Lakini askari wetu,, kwa hili hapana!.
Mbona jamaa anavunja sheria /katiba ili awafurahishe sisiemu?Kwahiyo tuvunje sheria ili kufurahisha watu??
Mie mpaka sasa hiv kila nikiwaza roho inaniuma, nikiwaza maumivu ya moto yalivyo lakini kiumbe kinachomwa hai mpaka kiteketee. Ni ukatili mkubwa sana.Hayo maumivu hao vifaranga waliopata na vile vilio wakati wanachomwa kwa kweli hayatatuacha salama.. ni kitendo cha kikatili mno ambacho tuliwafanyia hawa viumbe wenzetu ambao kimsingi ni animalia tu kama sisi... Its totally barbaric and brutal
Ni samaki kiasi gani wanauawa bila hurumq??Watu wanafiki sana. Yaani unakuta mtu anapost hapa na ametoka kula kuku au nyama. Utafikiri hao kuku au ng'ombe wakati wanachinjwa anafurahia kuchinjwa. Binadamu sisi ni makatili natural, ndo maana tunavua samaki wakati ukijua ukimtoa kwenye maji tunawaua.
Acheni unafikiMie mpaka sasa hiv kila nikiwaza roho inaniuma, nikiwaza maumivu ya moto yalivyo lakini kiumbe kinachomwa hai mpaka kiteketee. Ni ukatili mkubwa sana.
Acheni unafiki
Hivi unafikiri ni samaki wangapi wanakufa kwa kuchomwa maji, kukaangwa kwenye mafuta na wengine hufa kwa kunyimwa makazi yao na kisha miili yao huteketezwa kwa manufaa yenu?
Ni mbuzi wangapi tena wengine wakiacha watoto wao wakiwa mayatima kwa kuchinjwa nchi nzima??
Ni ng'ombe wangapi wanaoteketea kwa ajilo ya matumbo yenu??
Ni bata wangapi hupoteza mama zao na baba zao kisa tu nyinyi binadamu mmehalalisha kwa kula bata batani??
Huruma ya hivyo vifaranga imetoka wapi??
Hatima ya hivyo vifaranga endapo vingekuwa ingekuwaje?? Au vingeuka kuwa wapiga kura??
Acheni unafiki watanzania
Toeni ya moyoni kwa kumchafua mtu kwa sababu zenu sio kuzingizia huruma kwa vifaranga asee
Unafiki upi?? Ushawahi kumkaanga samaki akiwa mzima????? Au ushawahi kumchoma mbuzi akiwa hai??? Acha undezi wewe roho mbaya imekujaa mpaka haouni tofauti ya kilicho hai na kilicho kufa.Acheni unafiki
Hivi unafikiri ni samaki wangapi wanakufa kwa kuchomwa maji, kukaangwa kwenye mafuta na wengine hufa kwa kunyimwa makazi yao na kisha miili yao huteketezwa kwa manufaa yenu?
Ni mbuzi wangapi tena wengine wakiacha watoto wao wakiwa mayatima kwa kuchinjwa nchi nzima??
Ni ng'ombe wangapi wanaoteketea kwa ajilo ya matumbo yenu??
Ni bata wangapi hupoteza mama zao na baba zao kisa tu nyinyi binadamu mmehalalisha kwa kula bata batani??
Huruma ya hivyo vifaranga imetoka wapi??
Hatima ya hivyo vifaranga endapo vingekuwa ingekuwaje?? Au vingeuka kuwa wapiga kura??
Acheni unafiki watanzania
Toeni ya moyoni kwa kumchafua mtu kwa sababu zenu sio kuzingizia huruma kwa vifaranga asee
Walipondwa na kesho yake walichomwa moto.Unafiki upi?? Ushawahi kumkaanga samaki akiwa mzima????? Au ushawahi kumchoma mbuzi akiwa hai??? Acha undezi wewe roho mbaya imekujaa mpaka haouni tofauti ya kilicho hai na kilicho kufa.