Tanzania kills chicks worth Sh12.5m over Avian Flu fears

Nikikutanaga tu na habari ya lugha gongana basis macho hupata upofu automatically, i don't know why but you can help me if there is an eyeglass for reading English. Kwa msaada wa c9pro.
 
Mara mia wangewaambia warudishe vifaranga vilikotoka ili vikauzwe soko la ndani ya kenya kuliko ushetani uliofanyika.

South Afirca walikataa consignment ya viazi vya uporoto Mbeya kwamba havifai kwa matumizi ya binadamu wala wanyama ndani ya SA. Hivyo mwenye navyo aliagizwa arudishe vilikotoka kwa kuwa vinakiwango kikubwa cha sumu. Waliondoka navyo kutoka ardhi ya Madiba wakajua walichokifanya na hivyo viazi baada ya kuvuka mipaka!.

Masuala mengine hayahitaji elimu ya ki diplomasia bali ubinadamu tu unaweza kufanya mtu akaamua discretionary negatively lakini bila kutesa viumbe wengine.

Tumepiga mnada ng'ombe za kutoka Kenya, ktu nilidhani kwa majirani na ujirani mwema, ilikuwa ni kuzikabidhi kwa serikali kwa masharti sahihi.

Sasa kenya nao wamekamata mangombe mengi zaidi ya kwetu, ambayo bila shaka nayo yatauzwa. Hii tit for tat, inajenga ujirani mwema?

Ubabe huu utatufikisha mahala sahihi na utaleta manufaa kwetu ukizingatia sisi ndio waasisi wa amani katika maziwa makuu na tuna raia kila sehemu katika ukand ahuu?

Ninachoomba ni wahusika kujaribu kuepeuka kuliingiza taifa katika maafa kwa sababu ya personalities disorders za watu wachache. Maslahi ya taifa yawe mbele kuliko kuingiza nchi kwenye hali tata kwa sababu ya egocentricity ya mtu na wafuasi wake. Hapana ni wachache sana kutuingiza matatizoni. Labda wakapigane mieleka wao wenyewe atakayeshindwa ameshindwa na atakayeshinda awe ameshinda. Lakini askari wetu,, kwa hili hapana!.

Unapo zungumzia Maafa fafanua maafa gani!?
 
Kuna jitu moja ndio linasababisha haya yote
 
Vingekuwa vimetoka Brazil. Vingerudishwa vilikotoka? Kwa gharama za nani? Na vilikotoka unajuae watavikubali?
 
Mtoa mada umebeba sympath ya mwenye vifaranga au mwenye ng'ombe? It sounds like a revenge...
 
Hii bavicha shida sana.. Can you translate the contents, kisha useme heading yako inaendana?
Yaani chadema Wana chuki kubwa sana kwa Magufuli kiasi kwamba wanaokoteza kila habari ambayo wanaamini inaweza kumchafua Magufuli. Lengo la habari hii Ni kutaka kuonesha kuwa Magufuli anaharibu mahusiano Na Kenya kwa vile swahiba wa Chadema, Uhuru kaingia madarakani
 
Vingekuwa vimetoka Brazil. Vingerudishwa vilikotoka? Kwa gharama za nani? Na vilikotoka unajuae watavikubali?

Cost and who would be responsible, should be none of your business. Wamwachie importer atajua anafanya nini. Yawezekana angeviuza kenya ama Uganda ama kokote ikiwa hapa havikutakiwa. Wewe unaviua, kwa gharama ya nani? Nani kakuambia mwenyewe hakuwa na options? Kiherehere cha kutenda maovu!
 
Hayo maumivu hao vifaranga waliopata na vile vilio wakati wanachomwa kwa kweli hayatatuacha salama.. ni kitendo cha kikatili mno ambacho tuliwafanyia hawa viumbe wenzetu ambao kimsingi ni mamalia tu kama sisi... Its totally barbaric and brutal
Haya sasa kifaranga nae kawa mamalia

Hii ni kwa tanzania pekeee aseee ambayo kifaranga ni mamalia
 
Duh! maCCM bila ukatili kwasasa itakua kwaheri.
 
Vingekuwa vimetoka Brazil. Vingerudishwa vilikotoka? Kwa gharama za nani? Na vilikotoka unajuae watavikubali?
Vinge __ unaogea mambo ya _Inge .sijui akilizenu huwa mnazikodisha wapi ??
 
Back
Top Bottom