Tanzania kills chicks worth Sh12.5m over Avian Flu fears

Vingekuwa vimetoka Brazil. Vingerudishwa vilikotoka? Kwa gharama za nani? Na vilikotoka unajuae watavikubali?
Mkuu umesoma alichokiandika au umekurupuka kujibu maana ulichokiandika ni cha mtu asiyefikiria vizuri

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Hivi zile kuku tunabanika kwenye baa na kuwala wanakuwa wazima au mnadhani wakati wanachinjwa ili waliwe hao kuku wanafurahia na hawasikii maumivu? Naona kama kuna ka harufu ya unafiki hapa!!!!
 
Perhaps I do not know how to read in English. Its just a news report and bear no malice to any body.

Stop exaggerating things, "Magufuli vs Uhuru" why????

Fake thread

Mwingereza (topic owner) does not understand Kiingereza,probably.
 
Hivi zile kuku tunabanika kwenye baa na kuwala wanakuwa wazima au mnadhani wakati wanachinjwa ili waliwe hao kuku wanafurahia na hawasikii maumivu? Naona kama kuna ka harufu ya unafiki hapa!!!!
Tena kwa mbwembwe wanaagizaga kuku mzima eti
 
Hii bavicha shida sana.. Can you translate the contents, kisha useme heading yako inaendana?


Sawa Mwingereza ameshindwa kutafsiri contents za habari

Lakini na wewe BAVICHA wamekujaje hapa kwenye hiyo habari???

Acha hisia deal na issues siyo kupiga piga makelele
 
Na importer hakisema ana pesa ya kuvirudisha?
Na hiyo nchi livikokuwa import wakivikataa kutokana na quarantine law yao utafanyaje?
Lazima uwe na procedures ambazo ni workable.
 
yani uo uzi umeupa tittle


yani wabongo bana... iyo heading imekaa kiupotoshajii...
magufuli na uhuru hapo wameingiaje?
na kimenuka nini....
acheni kuichafua nchi yenu wenyewe for the sake of likes n comment mitandaoni... hii ndo nchi pekee u can call home hamna popote duniani utaweza kuwa somebody na kwa style hii ndo kabisaaaa...
 
Vinge __ unaogea mambo ya _Inge .sijui akilizenu huwa mnazikodisha wapi ??
Ku include “possibility” kwenye maisha yetu ya kila siku ndio imeweza kutufanya tukabiliane na mambo mbali mbali.

Kama serikali lazima iwe na quarantine law ambayo ni workable kwa kila mtu na wakati tofauti.
 
Mkuu umesoma alichokiandika au umekurupuka kujibu maana ulichokiandika ni cha mtu asiyefikiria vizuri

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
Ndio nimesoma! Je, wewe umenisoma?!
 
Magunia anafanya makusudi kumkomoa Uhuru kwa sababu ya maslahi ya rafiki yake Omolo..
 
Tena kwa mbwembwe wanaagizaga kuku mzima eti
Watu wanafiki sana. Yaani unakuta mtu anapost hapa na ametoka kula kuku au nyama. Utafikiri hao kuku au ng'ombe wakati wanachinjwa anafurahia kuchinjwa. Binadamu sisi ni makatili natural, ndo maana tunavua samaki wakati ukijua ukimtoa kwenye maji tunawaua.
 
[emoji86] [emoji86] nalo neno! Kumbe wenye huruma ya kweri ni rasta tu
 
Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Kabadilshe sheria
 
 
Kwa hili serikali inakosea sana aise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…