barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mkuu umepata kiti cha ulaji na wewe? Ktk news flash za jf naona zako kadhaa za kumfagilia rais...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kuisemea nchi yako ni mpaka upate Ulaji?!Mkuu umepata kiti cha ulaji na wewe? Ktk news flash za jf naona zako kadhaa za kumfagilia rais...
Ndio wapi huku mkuu!Hilo ndio tatizo lenu kila siku mtudharau watu vijijini ata tukijitapa mntaka kutuumbua; Nyabula ni ulaya pia stupid.
Sawa boss,GeoNames.org
www.geonames.org
Click link itakuonyesha.
Tuendelee kumwombea,Huyu Rais nampenda Sana, kila siku namuombea maisha mrefu Mungu amulinde, kazi anafanya vizuri Sana na Tanzania inapaa
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hongera Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mahiri na kutuweka namba 1 Afrika. CCM Oyee.===
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,
TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho mbalimbali wameihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama na inavutia zaidi Africa kwa Kutalii hasa wakati wa baridi,
TheGrio wamekanusha tishio la Usalama kwa watalii na kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni Salama zaidi kwa Utalii Barani Africa ikiwa ni pamoja na Morocco, Nigeria, Africa Kusini na Misri,Heko Rais Samia Suluhu kwa "Royal Tour "
TheGrio wameendelea kuwashawishi Wamarekani na nchi mbalimbali kuwa wafikapo Tanzania watakutana na Serengeti na wataona "The Big five " yaani tembo,twiga,Faru,Nyumbu,Simba na Duma,Hakika jina la Tanzania nje linang'aa Sana tuendelee kuchapa kazi,
View attachment 2071767
>>endelea kujisomea hapo chini <<
Sanaaa,Tanzania tuko katika uelekeo sahihi sana tuendelee kumwombea rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan,
Tunakila sababu ya kujivuna,
Mama yuko njema sanaaHongera Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mahiri na kutuweka namba 1 Afrika. CCM Oyee.
Tanzania imekuwa ni destination number 1 tangu mwaka 2008 baada ya ziara ya kwanza ya rais Bush wa Marekani wakati huo ambayo ilifuatiwa na mke wake pamoja na mabinti zake kutumia muda wa karibu wiki moja kule kwenye mbuga za wanyama, hili siyo jambo jipya tena.View attachment 2075585
===
Katika ripoti yake iliyotoka mwishoni mwamwaka wa jana 2021 World Travel Awards ( WTA ) wameitaja nchi yetu ya Tanzania kuwa ndio nchi bora kabisa kwa Utali barani Africa mwaka 2021|22
Tanzania tumepata nafasi hii ya kwanza baada ya kuzipiku nchi nyingine kumi na mbili ( 12 ) tulizopambanishwa nazo nchi hizo ni Africa ya Kusini, Nigeria, Ghana,Misri,Morocco,Namibia,Botswana,Kenya,Rwanda,Uganda,Msumbiji na Zambia,
WTA ni taasisi inyojishughulisha na utafiti na kutoa zawadi kwa nchi,Mtu au taasisi binafsi zinazofanya vizuri zaidi katika nyanja za Utalii, Usafiri wa anga, Hoteli na huduma nyinginezo za kijamii,
Tanzania hasa baada ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa ikifanya vizuri Sana katika sekta hii ya Utali hasa baada ya kipindi kifupi Cha mieizi hii michache Rais Samia Suluhu Hassan watalii wameongezeka kwa asilimia 338.
Mfano tu,Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na asilimia 338
Kwa sababu wewe ulikuwa hujui hilo, ni kama kipofu alieona mwezi kwa mara ya kwanza! Yaani hujui kuwa wacheza sinema wengi wa Hollywood, wacheza mpira wengi sana wa ulaya na wanasiasa wengi kutoka ulaya na marekani hutumia vacations zao Tanzania !Sio jambo jipya kwako mkuu,
Habari mbaya sana hii kwa Wale #2025FVER na CHADOMO,View attachment 2075608
===
TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi,
TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho mbalimbali wameihakikishia Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama na inavutia zaidi Africa kwa Kutalii hasa wakati wa baridi,
TheGrio wamekanusha tishio la Usalama kwa watalii na kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni Salama zaidi kwa Utalii Barani Africa ikiwa ni pamoja na Morocco, Nigeria, Africa Kusini na Misri,Heko Rais Samia Suluhu kwa "Royal Tour "
TheGrio wameendelea kuwashawishi Wamarekani na nchi mbalimbali kuwa wafikapo Tanzania watakutana na Serengeti na wataona "The Big five " yaani tembo,twiga,Faru,Nyumbu,Simba na Chui,Hakika jina la Tanzania nje linang'aa Sana tuendelee kuchapa kazi,
View attachment 2071767
WORLD TRAVEL AWARDS WAITAJA TANZANIA KUWA NCHI YA KWANZA AFRICA KWA UTALII
===
Katika ripoti yake iliyotoka mwishoni mwamwaka wa jana 2021 World Travel Awards ( WTA ) wameitaja nchi yetu ya Tanzania kuwa ndio nchi bora kabisa kwa Utali barani Africa mwaka 2021|22
Tanzania tumepata nafasi hii ya kwanza baada ya kuzipiku nchi nyingine kumi na mbili ( 12 ) tulizopambanishwa nazo nchi hizo ni SA,Nigeria,Ghana,Misri,Morocco,Namibia,Botswana,Kenya,Rwanda,Uganda,Msumbiji na Zambia,
WTA ni taasisi inyojishughulisha na utafiti na kutoa zawadi kwa nchi,Mtu au taasisi binafsi zinazofanya vizuri zaidi katika nyanja za Utalii, Usafiri wa anga, Hoteli na huduma nyinginezo za kijamii,
Tanzania hasa baada ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa ikifanya vizuri Sana katika sekta hii ya Utali hasa baada ya kipindi kifupi Cha mieizi hii michache Rais Samia Suluhu Hassan watalii wameongezeka kwa asilimia 338.
Mfano tu,Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na asilimia 338
==============================
Tanzania voted 2021 Africa leading travel destination ahead of South Africa, Nigeria, Rwanda and Egypt
Summary
Tanzania has been voted as Africa's leading travel destination ahead of South Africa, Nigeria, Rwanda and other countries of the continent.
- Tanzania was voted Africa's leading destination in the 2021 World Travel Awards (WTA).
- World Travel Awards is the travel industry's most prestigious awards programme, rewarding leaders in the tourism, airline, hotel and hospitality sectors.
- Tanzania has been nominated in the African leading travel destination since 2018
Tanzania was voted Africa's leading destination in the 2021 World Travel Awards (WTA).
World Travel Awards is the travel industry's most prestigious awards programme, rewarding leaders in the tourism, airline, hotel and hospitality sectors.
READ MORE: UK to review ban on travellers from Africa today
World Travel Awards gala ceremonies are regarded as milestone events in the travel calendar, attended by the industry's key decision-makers, figureheads, influencers and media.
The programme, its winners and its sponsors are represented globally on social media, with fresh daily content across multiple platforms.
"World Travel Award celebrates its 28th anniversary year in 2021. Its annual programme is renowned as the most prestigious and comprehensive in the global industry.
Each year World Travel Awards covers the globe with its Grand Tour – a series of regional gala ceremonies to recognise excellence within each continent, culminating in a Grand Final at the end of the year," a statement on its website said.
The WTA received nominations of different countries on different categories on the global scale.
In Africa, a host countries were nominated for leading travel destination category, Tanzania, however, won the award.
Here are the nominated countries;
- Botswana
- Egypt
- Ghana
- Kenya
- Morocco
- Mozambique
- Namibia
- Nigeria
- Rwanda
- South Africa
- Uganda
- Zambia
Nakuunga mkono kwenye hili tuNi wakati muafaka wa kupiga marufuku Trophy Hunting.