Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

Mkuu umepata kiti cha ulaji na wewe? Ktk news flash za jf naona zako kadhaa za kumfagilia rais...
 
Huyu Rais nampenda Sana, kila siku namuombea maisha mrefu Mungu amulinde, kazi anafanya vizuri Sana na Tanzania inapaa

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona uzi mmoja wanakommenti watu watatu tu na kumsifia Rais kupitiliza?, nina wasiwasi huyu ni mtu mmoja.
 
Hongera Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mahiri na kutuweka namba 1 Afrika. CCM Oyee.
 

===​

Katika ripoti yake iliyotoka mwishoni mwamwaka wa jana 2021 World Travel Awards ( WTA ) wameitaja nchi yetu ya Tanzania kuwa ndio nchi bora kabisa kwa Utali barani Africa mwaka 2021|22


Tanzania tumepata nafasi hii ya kwanza baada ya kuzipiku nchi nyingine kumi na mbili ( 12 ) tulizopambanishwa nazo nchi hizo ni SA,Nigeria,Ghana,Misri,Morocco,Namibia,Botswana,Kenya,Rwanda,Uganda,Msumbiji na Zambia,

WTA ni taasisi inyojishughulisha na utafiti na kutoa zawadi kwa nchi,Mtu au taasisi binafsi zinazofanya vizuri zaidi katika nyanja za Utalii, Usafiri wa anga, Hoteli na huduma nyinginezo za kijamii,

Tanzania hasa baada ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa ikifanya vizuri Sana katika sekta hii ya Utali hasa baada ya kipindi kifupi Cha mieizi hii michache Rais Samia Suluhu Hassan watalii wameongezeka kwa asilimia 338.

Mfano tu,Katika robo ya tatu ( Q3 ) mwaka 2020 Tanzania ilipokea Jumla ya Watalii 72,147 pekee wakati katika kipindi kama hicho mwaka 2021 Tanzania imepokea Jumla ya Watalii 243,565 sawa na ongezeko la Watalii 171,418 ambao ni sawa na asilimia 338

 
Si Bora ungeufufua ule Uzi ulioleta habari hii awali?Unajaza tu server Kwa kurudiarudia habari!
Au tukuache ucomment mwenyewe!
 
Tanzania imekuwa ni destination number 1 tangu mwaka 2008 baada ya ziara ya kwanza ya rais Bush wa Marekani wakati huo ambayo ilifuatiwa na mke wake pamoja na mabinti zake kutumia muda wa karibu wiki moja kule kwenye mbuga za wanyama, hili siyo jambo jipya tena.
 
Sio jambo jipya kwako mkuu,
Kwa sababu wewe ulikuwa hujui hilo, ni kama kipofu alieona mwezi kwa mara ya kwanza! Yaani hujui kuwa wacheza sinema wengi wa Hollywood, wacheza mpira wengi sana wa ulaya na wanasiasa wengi kutoka ulaya na marekani hutumia vacations zao Tanzania !
 
Habari mbaya sana hii kwa Wale #2025FVER na CHADOMO,

MAMA CHAPA KAZI TUNAKUELEWA SANA,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…