Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

Daaah,

Ila uongozi wa huyu Mama mambo yananyooka sana aise,
Marekani haijawahi kuipigia debe Tanzania kwa kiasi hiki,Wanamchukia huyu mama hawajui Dunia inaendaje leo
Ukitaka kuendana na Mabeberu usiwabane kwenye issues zao. Uta enjoy sana. Na watakwambia hata uchumi wako umepanda kwa kasi sana. Hili linajulikana kwa watu wenye akili. Hata akina Mobutu walisifiwa sana miaka yao.
 
Daaah,

Ila uongozi wa huyu Mama mambo yananyooka sana aise,
Marekani haijawahi kuipigia debe Tanzania kwa kiasi hiki,Wanamchukia huyu mama hawajui Dunia inaendaje leo
Chuki ni kwa sababu ya jinsia yake. Wameshajiwekea vichwani mwao kwamba alikuwa msaidizi wa JPM basi wanamlinganisha na hayati ili waone kama kweli ofisi ameiweza.

Wamekariri aina ya uongozi wa JPM kwamba ndio wa huyu mama. Kwao JPM ndio kila kitu linapokuja suala la maana ya uongozi. Mama anao mtindo wake wa uongozi wenye kutofautiana na wa mtangulizi wake na unaleta matunda mazuri kwa nchi anayoiongoza.
 
Daaah,

Ila uongozi wa huyu Mama mambo yananyooka sana aise,
Marekani haijawahi kuipigia debe Tanzania kwa kiasi hiki,Wanamchukia huyu mama hawajui Dunia inaendaje leo
Yule bwan wa O
Ile filamu alikua nae kila sehemu Katka filamu ile
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
Kazi nzuri mno hii,
 
Daaaah,tengeneza ID nyingi kadri uwezavyo!Ila Kuna siku utaumbuka!
 
Awesome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…