Tanzania kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia

Ukiwauliza TANESCO watakuambia haiwezekani tununue umeme kwa bei iliyopo sasa. Lengo wanataka tuminywe mpaka basi.
Inakuwaje wanasema wamezima mitambo ya kufua umeme kwa kutumia gas, kwa kuwa umeme umekuwa mwingi matumizi machache, na leo hii wanunue umeme kutoka nje?
Nakumbuka kuna jamaa alisema umeme wa bwawa la Nyerere sio wetu ni biashara watafaidi mataifa jirani, nimeanza kuamini.
 
But why, si tuna Mwl Nyerere dam project? Na tulisema umeme wake utakuwa mwingi sana hadi kuuza nje..? Tukumbushane
 
But why, si tuna Mwl Nyerere dam project? Na tulisema umeme wake utakuwa mwingi sana hadi kuuza nje..? Tukumbushane
 
Habari haijaeleweka kulinganisha na ukweli wa habari yenyewe. Aliyeleta kakurupuka
Bahati mbaya kabisa wanaojadili nao wanajadili kwa kukurupuka hakuna anayejisumbua kujua hiyo taarifa ipo vipi

So sad

Home of GTπŸ˜‚
 
Nashauri tununue toka Marekani.
 
Hapa kulia bwawa la Mwl Nyerere, huku kushoto Tren ya SGR, katikati kasimama Mhabesh na Token ya umeme πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii nchi imekaa kimikakati ya upigaji kila eneo, yaani kuna mambo hua nikiyasikia naona kabisa nchi yangu nikama kichwa cha mwendawazimu tu bladi hell....☹️
Sio ni kama,,Ni kichwa cha Mwendawazimu
 

Tusishangae Tanzania pale kupate pesa ni kuunda miradi isiyo na lazima ndiyo nzia ya mawaziri na wakurugenzi wa mashirika wanavyoiba. Watasema tender za mashine za maji mfano, mabasi ya mwendo kasi, vifaa........ yaani ni wizi mtupu
 
Sijui nani anaeishauri serikali mambo ya kipuuzi hivi..wkt hatuna bwawa hatukua tunanunua umeme...limejengwa bwawa tunanunua umeme...πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Kuna shida mahali haiwezekani hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…