Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

Tanzania kuanza kutengeneza smartphone

Yale maono ya VIWANDA ndiyo hayo.....

Tumeamua TUPIGE HATUA...na TUTAFIKA...

Tanzania mpya inazidi KUNUKIA....

KONGOLE
 
Kama vipi mkuu jifanye mwanafunze ukajitwalie kachumba kako pale fasta kwa laki nne ili uamini
Ngurdoro Hotel hii hii ninayoifahamu mimi eti ndiyo inakuwa Hostel za chuo cha IAA. Aisee, masikhara haya!!
Mkuu kwa kweli inabidi nikupitie ili twende zetu tukajitwalie vyumba kila mtu na cha kwake kwa mwaka mzima.
 
Ngurdoro Hotel hii hii ninayoifahamu mimi ndiyo inakuwa Hostel za IAA.
Daah mkuu kwa kweli inabidi nikupitie ili twende zetu tukajitwalie vyumba kila mtu na cha kwake kwa mwaka mzima.
Ngurdoto ilikufa tangu 2017 mkuu, ilibaki kama golf, ni bora hata wamepata akili ya kuweka hostel atilist pataonekana pana uhai
 
Kuzalisha sukari kumewashinda mnazungumzia smart phone? Hotel za ndani zinawashinda mmezigeuza hostel za wanafunzi

Tuache utani kwenyw mambo ya msingi
Wewe Ni sawasawa na mke anae mdharau mume wake kisa hajui kuvaa vizuri, hamninihii vizuri, hampi hela nyingi etc
Mhudumie mume nae atakua Kama hao wa nje unaowatamani
 
Wewe Ni sawasawa na mke anae mdharau mume wake.
Mhudumie mume nae atakua Kama hao wa nje unaowatamani
Ccm huwa hawapendi kuambiwa ukweli, Sukari tunanunua 4500 kilo wakati tuna viwanda na tunalima miwq, face this reality bruh, kubalini kushauriwa na wananchi, anzeni kutatua haya madogo yanayowasumbua wananchi kabla hajatutengenezea simu
 
Duuh sukari 4500?!! Wapi huko mkuu hebu nipe tenda hiyo nije kupiga hela mzigo upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom