Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
16,908
Reaction score
19,123
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.

Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.

Vitalu uwindaji kitalii.PNG
 
View attachment 2160537
Kifuatacho ITV.................mhhhhhhh haya.
 
Waarabu wa Oman jambo lao limesha tiki..

Nawaonea tu huruma wamasai waliohamishiwa makazi yao asili, Ni sawa na kuwatoa wazanzibari huko visiwani uwajengee makazi sumbawanga kisa Zanzibar ni kivutio.
 
Back
Top Bottom