FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haya sasa, tulishasema sisi, hao wamasai wanaotaka kujamishwa ni kwa dhumuni maalum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hiyo ndo njia rasmi .ujinga ni mwingi inchi hii..kuweka uhalali wa kuua wajamatena waliowachache kabisa ndo njia nzuri .Mungu atusaidie kwakwelHuu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapato
Sasa serikali imeweka njia rasmi, bado unapinga
Inasikitisha Sana!Hv muwindaji kweli atajali huyu ni Simba Mzee au sio. Ngoja tuone coz mkishaamua mshaamua hata tungepiga kelele vipi.
Tulisema hili, Maulid Kitenge alikuwa anatumika!!Ndio sababu kuu ya kuondoa Wamasai.
Kisa wewe ulibakwa bila kulipwa ndio unaamua kumuuza mwanao akafumuliwe marinda kwa malipo? Akili gani hizi?!Huu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapato
Sasa serikali imeweka njia rasmi, bado unapinga
Unaonaje wewe ukija kuuwawa na muwindanji akaambatana na mkuu wa kituo?Professional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPA
Check this...Authenticity ya hii habari please...
Sababu ni stranger than fiction..., na hizo nyara zitakazopatikana baada ya kuua tembo anachukua nani ?
Nadhani hii habari ila walakini, hopefully ni upotoshaji
Ni kweli kabisa...Hii nchi mkuu ina wajinga wengi kweli kweli.
Vitalu vya uwindaji vipo miaka yote sasa hapo kuna jipya gani
Waarabu wa Oman jambo lao limesha tiki..
Nawaonea tu huruma wamasai waliohamishiwa makazi yao asili, Ni sawa na kuwatoa wazanzibari huko visiwani uwajengee makazi sumbawanga kisa Zanzibar ni kivutio.
Kisa ulikuwa unafumuliwa marinda kila siku unataka tukuache uendelee nantabia yako chafu kisa hujaanza leo?, akili gani hizi jamani?Hii nchi mkuu ina wajinga wengi kweli kweli.
Vitalu vya uwindaji vipo miaka yote sasa hapo kuna jipya gani
Wewe hutaki kupiga pesa? Au huna fungu unaleta povu humu?Huyo hawajui TANAPA waende maeneo ya Tabata shule wamuulizie John Mangi alikuwa mfanyakazi TANAPA alipiga milioni mia nane Wema Sepatu na wenzake bongo movies wanamjua,sasa hivi anabeti mikeka ya jelo jelo.
Ngojea watu wapige hela, nchi ishafunguka hii tuna rudi kulekule.
Wanyama gani waliowachache? RubbishKwahiyo hiyo ndo njia rasmi .ujinga ni mwingi inchi hii..kuweka uhalali wa kuua wajamatena waliowachache kabisa ndo njia nzuri .Mungu atusaidie kwakwel
Tembo na Simba wamekuwa wengi?! Wako wangapi? Si mlisema wamasai ndio wengi, imekuaje tena?!Acheni ujinga nyie punda wa mwendakuzimu.
Mwaka 2019/2020 serikali ilianzisha mabucha ya wanyama pori sijui napo unasemaje.
Uwindaji haujaanza leo ,ni biashara ya kitambo na Kwa sasa wanyama wamekuwa wengi kupita kiasi.
Wanyama kama viboko na mamba wanatakiwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa maana wanahatarisha maisha na kuharibu Mazao.
Maisha ya nani? Ya wamasai mnaowahamisha?!Acheni ujinga nyie punda wa mwendakuzimu.
Mwaka 2019/2020 serikali ilianzisha mabucha ya wanyama pori sijui napo unasemaje.
Uwindaji haujaanza leo ,ni biashara ya kitambo na Kwa sasa wanyama wamekuwa wengi kupita kiasi.
Wanyama kama viboko na mamba wanatakiwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa maana wanahatarisha maisha na kuharibu Mazao.
Una utoto mwingi Sana,unajua Tzn ninua ngapi Kwa tembo na Simba? Mara ngapi unasikia tembo wanaharibu mashamba na nyumba za watu?Tembo na Simba wamekuwa wengi?! Wako wangapi? Si mlisema wamasai ndio wengi, imekuaje tena?!
Ndio we ulitakaje?Maisha ya nani? Ya wamasai mnaowahamisha?!
Kama uliyajua haya ulimaanisha nini kuandika wawindaji wa TANAPA??Acha kupotosha, ulitakiwa useme kwamba TANAPA (Tanzania National Park) wao kazi yao ni kusimamia hifadhi zote za taifa kama MIKUMI, SERENGETI, TARANGIRE, MANYARA, KATAVI, MALAHE nk na kwamba kwenye hifadhi za taifa zote uwindaji hairuhusiwi kisheria. Pia ungesema kwamba ukiacha hifadhi za taifa za wanyama Kuna mapori tengefu (game reserves) kama ilivyokuwa Seoul Game reserve. Pia Kuna hunting blocks (vitalu maalumu vyenye wanyama mbalimbali) ambavyo kisheria uwindaji unaruhusiwa kwa kufuata miongozo, sheria na taratibu na misimu ya uwindaji. Wanaosimamia hivi vitalu na hizi game reserves ni TAWA (Tanzania wildlife authority) wakati TANAPA wao Wanaosimamia National Parks zote. Kumbuka fedha nyingi hupatikana kwa watalii kutembelea National Park, game reserves na pia kwa kufanya uwindaji kwenye vitalu.
Ahsante sana mkuu.We Fala tu huna unalojua