Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Professional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPA
Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweli
 
Hivi unajua kwamba shughuli za uwindaji wa kitalii zimekuwepo nchi hii kwa miaka mingi sanaa?
 
Sawa mkuu. Hakika nakwambia madhara yatakayotokea na maamuzi hayo yatakuwa makubwa sana tu na naamini ipo siku watakuja na maamuzi ya kupinga maamuzi Yao na bado utawapongeza. Rangi nyeusi au mfanyabiashara kamwe haitaji busara ni kwambie tu ukweli
Tena kwa sasa ujangili umepungua sisi watanzania tulikua tunaua sana wanyama pori kwa gharama ndogo sana ya kuuza nyama na pembe hawa wageni watawinda wachache wenye sifa kwa pesa nyingi sana. Hili naliunga mkono kwa 100%
 
Mkuu kuna binadamu walienda shule kukua.
 
Tena kwa sasa ujangili umepungua sisi watanzania tulikua tunaua sana wanyama pori kwa gharama ndogo sana ya kuuza nyama na pembe hawa wageni watawinda wachache wenye sifa kwa pesa nyingi sana. Hili naliunga mkono kwa 100%
Tuko pamoja mkuu. Yaan sijui afisa wanyamapori anayelipwa laki tano akutane na milioni tano tumchape Simba kijana kweli anapingana na hilo? Ni suala la muda tu najua
 
Wawinde tu hadi wote waishe..... Tragedy of the common....
 
Majibu ya safari ya Dubai hayo.
Yaani yule mwarabu aliyechukua pori tengefu loliondo bado hajaridhika.
Ile bendera kuweka kwa Ile tower ya dunia sio ya kawaida burebure.
Ila watu wa tamaduni ya kiarabu wakipewa madaraka ni kuuza nchi kwenda mbele.
Cheki gesi madini escrow tegeta downs na mengine mengi ni wao.
 
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.

Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.

View attachment 2160537
Ndio alichoenda kuelewana kule dubai sio?
Ngoja wamasai wamalizike kuahama kule ilu na mradi wa ujenzi uanze rasmi
 
Tunarudi nyuma kwenye hili ukisharuhusu uwindaji wa simba na tembo...ndio unarudisha na ujangili. Ifike mahali tukibali hawa wanya ni urithi wa dunia hebu tuwaache tu.

Haya maamuzi mengine yanakera sana, kweli karne ya 21 tunaruhsu uwindaji wa wanyama wanaokaribia kutoweka?? Sasa kama ni hivi kuna haja gani ya kiwaondoa maasai ngorongoro, maana kisingiZio ni wanyama sasa kama wanyama wenyewe watauzwa kwa wakoloni wawindaji kwa noti za fedha kwakweli sio sawa bora wamasai wabaki tu waendelee na maisha yao. Nchi inaenda mbele kisha inarudi nyuma.
Mara mlima kilimanjaro wanataka kuweka magari na kuuwa thamani yake? Tatizo liko wapi?
 
Hivi jamani uwindaji wa kitalii nchini umeanza leo?
 
Binadamu hana haki ya kuua viumbe hai wengine kwa hobi tu
 
Acheni ujinga nyie punda wa mwendakuzimu.

Mwaka 2019/2020 serikali ilianzisha mabucha ya wanyama pori sijui napo unasemaje.

Uwindaji haujaanza leo ,ni biashara ya kitambo na Kwa sasa wanyama wamekuwa wengi kupita kiasi.

Wanyama kama viboko na mamba wanatakiwa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa maana wanahatarisha maisha na kuharibu Mazao.
hao wanaenda kuua simba, tembo, vifaru, n.k sio digi digi ama viboko
 
Tunajua kule mfalme wa Dubai anamiliki eneo lake ndani ya hifadhi, acha akajiwindie zake wanyama
 
Back
Top Bottom