Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Yaani yule mwarabu aliyechukua pori tengefu loliondo bado hajaridhika.
Ile bendera kuweka kwa Ile tower ya dunia sio ya kawaida burebure.
Ila watu wa tamaduni ya kiarabu wakipewa madaraka ni kuuza nchi kwenda mbele.
Cheki gesi madini escrow tegeta downs na mengine mengi ni wao.
Hiyo miaka 9 mingine tuandike maumivu.
 
Tatizo lako wewe ndiye mwenye mtizamo wa kimasikini hufikiri kesho,unafikiria njaa zako.
Na hawa ndio hata kwenye family level kazi ni kurithishana umasikini tu, toka kwa mababu hadi vitukuu ni umasikini tu, hakuna anaejali descendants wake wataishi vipi..
 
Akili kisoda hiyo utafanya wewe,sisi tunawapunguza kwa kuua na kuwapiga mnada.
Kumbe hawauwawi sababu ni predators kama ulivyosema mwanzo, wala hawauwai kisa ni waharibifu kama ulivyosema mwanzo. Kumbe wanyama wanauwawa sababu ni wengi ili wapungue, sasa wanaposema Simba na Tembo ni endangered species na wamepungua kwa zaidi ya 70% katika kipindi cha miaka 50, huwa wanamaanisha nini?

Lion wamefall huko kwingine lakini Tzn inaongoza,ni nyumbani kwa nusu ya lions wote Duniani.

Tunawafyeka kwa sababu wamezidi
 
Lion wamefall huko kwingine lakini Tzn inaongoza,ni nyumbani kwa nusu ya lions wote Duniani.

Tunawafyeka kwa sababu wamezidi
Nimekuwekea takwimu hizo, watu wamefanya count ya Simba, wa Tanzania wakiwemo, tafiti zinaonyesha wamepungua kwa 70% katika kipindi cha miaka 50, unasema wamepungua kwingine kwa takwimu zipi?
 
Kwani si huwa wanapewa quota za kuua wanyama kwa kila kitalu?

Na hii haikuanza leo wala jana. Ndiyo maana kuna vitalu vinavyokodishwa
Simba na Tembo ni endangered species, hakuna any quota unaweza kumpa mtu ili auwe, na kwa rushwa ilivyotapakaa hatuna sababu ya kuamini kwamba watafuata hiyo quota, maana wako hatarini.
 
Nimekuwekea takwimu hizo, watu wamefanya count ya Simba, wa Tanzania wakiwemo, tafiti zinaonyesha wamepungua kwa 70% katika kipindi cha miaka 50, unasema wamepungua kwingine kwa takwimu zipi?
Uliwapunguza wewe?👇

Screenshot_20220323-115600.png
 
Back
Top Bottom