kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
ahaaaa!!!!! ndo manake loliondo wamepewa waaarabu!!! da!!!!Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
View attachment 2160537