Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee

Mm nataka kupata address za hizo kampuni za uwindaji napataje mleta mada unafahamu lolote
 
Kama hujui kitu kaa kimya, hakuna muwindaji wa TANAPA katika hii nchi. Pia faida inayopatikana kwa hao wanyama kuwa hai ni kubwa kuliko hiyo ya kuwawinda.
Huyo hawajui TANAPA waende maeneo ya Tabata shule wamuulizie John Mangi alikuwa mfanyakazi TANAPA alipiga milioni mia nane Wema Sepatu na wenzake bongo movies wanamjua,sasa hivi anabeti mikeka ya jelo jelo.

Ngojea watu wapige hela, nchi ishafunguka hii tuna rudi kulekule.
 
Aliyempa magufuli alitukosea sana watanzani yule alitakiwa awe waziri mkuu haya mambo kama ya kipuuzi ndo angehangaika nayo wameenda kumpa uraisi kajisahau wameondoka naye halafu hzo pesa zote zinaishia mifukoni mwa watu.
 
Wazo zuri hainaa maana kujivunia tembo laki 2 au simba elfu 60 huku huna hela .ni bora kuwauza tupate hela yakufanya maendeleo
Tatizo linaanzia hapo hzo pesa zitaishia kwenye mifuko ya wajanja wachache.
 
Authenticity ya hii habari please...

Sababu ni stranger than fiction..., na hizo nyara zitakazopatikana baada ya kuua tembo anachukua nani ?

Nadhani hii habari ila walakini, hopefully ni upotoshaji
 
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.

Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.

View attachment 2160537
Turuhusiwe na sisi wawindaji wa Kizalendo tuwapunguze hao Tembo.
 
Aliyempa magufuli alitukosea sana watanzani yule alitakiwa awe waziri mkuu haya mambo kama ya kipuuzi ndo angehangaika nayo wameenda kumpa uraisi kajisahau wameondoka naye halafu hzo pesa zote zinaishia mifukoni mwa watu.
Una maanisha nn yani
 
Kama hujui kitu kaa kimya, hakuna muwindaji wa TANAPA katika hii nchi. Pia faida inayopatikana kwa hao wanyama kuwa hai ni kubwa kuliko hiyo ya kuwawinda.
Acha kupotosha, ulitakiwa useme kwamba TANAPA (Tanzania National Park) wao kazi yao ni kusimamia hifadhi zote za taifa kama MIKUMI, SERENGETI, TARANGIRE, MANYARA, KATAVI, MALAHE nk na kwamba kwenye hifadhi za taifa zote uwindaji hairuhusiwi kisheria. Pia ungesema kwamba ukiacha hifadhi za taifa za wanyama Kuna mapori tengefu (game reserves) kama ilivyokuwa Seoul Game reserve. Pia Kuna hunting blocks (vitalu maalumu vyenye wanyama mbalimbali) ambavyo kisheria uwindaji unaruhusiwa kwa kufuata miongozo, sheria na taratibu na misimu ya uwindaji. Wanaosimamia hivi vitalu na hizi game reserves ni TAWA (Tanzania wildlife authority) wakati TANAPA wao Wanaosimamia National Parks zote. Kumbuka fedha nyingi hupatikana kwa watalii kutembelea National Park, game reserves na pia kwa kufanya uwindaji kwenye vitalu.
 
Mm nataka kupata address za hizo kampuni za uwindaji napataje mleta mada unafahamu lolote
Ingia kwenye website ya wizara ya Maliasili na utalii utakuta tangazo kwa sababu hivyo vitalu huuzwa kwa mnada, kila kitu huwa wazi, ila ujiandae na pesa ndefu
 
Huyo hawajui TANAPA waende maeneo ya Tabata shule wamuulizie John Mangi alikuwa mfanyakazi TANAPA alipiga milioni mia nane Wema Sepatu na wenzake bongo movies wanamjua,sasa hivi anabeti mikeka ya jelo jelo.

Ngojea watu wapige hela, nchi ishafunguka hii tuna rudi kulekule.
Acha uoga wewe
 
Back
Top Bottom