Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Alafuunaweza kuta wale wamasai wanahamishwa ili huu mradi uweze kutekelezwaTanzania yangu! ukute una simba 600 nchi nzima halafu kila kukicha kuua
Huu ni unafiki,tembo wanakufa kila siku kupitia majangili na serikali kukosa mapatoTanzania yangu! ukute una simba 600 nchi nzima halafu kila kukicha kuua
Kifuatacho ITV.................mhhhhhhh haya.Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee.
Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.
View attachment 2160537
Kwahiyo unataka ufuge hao simba wanaliwa nyama? Unadhani yule faru rajabu au babake faru John wangeuzwa wakiwa hai si tungepata hela?What? ebu ongeza sauti. Tafadhali, hatukubaliani
Professional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPAHv muwindaji kweli atajali huyu ni Simba Mzee au sio. Ngoja tuone coz mkishaamua mshaamua hata tungepiga kelele vipi.
Kama hujui kitu kaa kimya, hakuna muwindaji wa TANAPA katika hii nchi. Pia faida inayopatikana kwa hao wanyama kuwa hai ni kubwa kuliko hiyo ya kuwawinda.Professional hunters wanapopewa kibali cha kuwinda wanaambiwa kabisa aina ya mnyama watakaemuua na wanaambatana na wawindaji wa TANNAPA