Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

Kuna Kiongozi Kijana wa Burkina Faso, ukisogea mpaka Mali, Niger wao Kwa Sasa wanavunja mikataba ya kinyonyaji ya mabeberu.


Kuanza Upya sio Ujinga... Madini hayaozi, Kulipa Billion hizo, lkn Madini yakabaki salama, na yakachimbwa Kwa Mkataba wenye Masilahi na Nchi, kipi Bora??.

Kama huna GPA ya kuanzia walau 3.5 Chuo Kikuu, huwezi kunielewa.
Hatuwezi kuanza upya bila waliosababisha haya wasichukuliwe hatua stahiki
 
Waendelee kulipa tu hadi wapigwe na kitu chenye ncha kali ndio akili zitawarudia kwamba haya mambo ya uzembe inabidi tuanze kuwanyonga wahujumu uchumi. Hatuwezi kuwakabidhi watu dhamana ya kutuongoza na wakisha kabidhiwa wao ni kufanya madudu kwenda mbele bila kuwajibika. sasa waanze kuwajibika ndio wataongeza umakini katika kazi zao. Ni hivyo tu, hajuna jinsi...
 
Kwenye negotiations nchi hii kuna shida aise,isije ikawa huko wanawapeleka watu kama wakina steve nyerere mwijaku bongo movie type

Ova
Huwa nadhani kuna jambo fiche mawazoni mwao.Mtu mzima kasomeshwa na kuitumikia nchi zaidi ya robo karne halafu anashindwa kusimamia na kutetea mambo ya wazi kabisa.Hujuma hii.
 
Back
Top Bottom