Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

Hivi bado upo kwenye D tu?B na A amechukua nani?
 

..hasara hii ilikuwa inaepukika.

..Magufuli alipaswa kusubiri leseni ya hiyo kampuni iishe halafu asikubali ku-renew.

..pia kulikuwa na option ya kuwashitaki ktk ICSD kama alikuwa na ushahidi kuwa wamekiuka mkataba.

..tatizo la Magufuli ni kushughulika na makampuni ya kimataifa kana kwamba anashughulikia wapinzani wake hapa nchini. Matokeo yake ndiyo haya mabilioni ya hasara tunayolazimika kuyalipa.
 
Nchi zote duniani zilipata Maendeleo kwakiwa na viongozi "shrewd" kama Mwamba Magufuli! Soma historia ya Rais Lee Kuan Yew wa Singapore kwenye kitabu chake cha "One Man Army" utaelewa Mwamba Magufuli alimaanisha nini.
 
Mtu mmoja kaliacha taifa na hasara ya mamia ya matrilioni, ni hasara ambayo hailingani hata na gharama ambazo Tanzania ilitumia kwa vita vya Kagera.

Nchi inaendelea kuomboleza maamuzi yaliyokuwa yanafanywa na awamu ya tano kwa kivuli cha uzalendo. Waliokuwa wanaonya maamuzi ya hovyo hovyo walishambuliwa. Sasa tuko hapa.



 
Mungu wenu kila kitu alimkabidhi Mr.Slim,kuanzia bandari,mirerani yote alimkabidhi na ndiyo alikuwa mwalimu wake jinsi ya kupoteza watu wanaopingana naye,unajifanya hujui!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu wa sasa hakuna kilichobakia.
 
Nchi zote duniani zilipata Maendeleo kwakiwa na viongozi "shrewd" kama Mwamba Magufuli! Soma historia ya Rais Lee Kuan Yew wa Singapore kwenye kitabu chake cha "One Man Army" utaelewa Mwamba Magufuli alimaanisha nini.

..Magufuli angekuwa " shrewd " hao Indiana ndio wangekuwa wanatulipa Tanzania hizo billion 297.

..Tatizo Watanzania hatuna kumbukumbu lakini Magufuli alikuwa alivunja sheria na kushindwa kesi tangu akiwa Waziri.

..Sijui kama unakumbuka Magufuli alivyopelekea serikali kumlipa mfanyabiashara wa Mwanza bil 15 baada ya kumvunjia kituo chake cha mafuta kibabe.

..tabia zake za kutofuata sheria aliendelea nazo hata alipokuwa Raisi, na sasa katuachia zigo la makesi na madeni.
 
CCM ni zaidi ya shetani kabisa
 
Majizi ya Nchini na nje ya Nchi yalimchukia JPM na yataendelea kumchukia,
Lakini watu wanajua ukweli ulivyo. ,
Endeleeni kupiga pesa kwa kisingizio cha kesi za madai hewa πŸ™„πŸ™Œ
 
I smell something....huu ni upigaji..anyway...wacha tuwalipe..fedha zitaisha na madini yatabaki..
Bunge lote liliwekwa na Magufuli akisema ni wazalendo. Wahoji tuone uzalendo wao.
 
Tundu Lissu aliwaambia mkambeza sasa kiko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…