Sihitaji kuambiwa kama umeme umeenea kote au bado, ninaona kwa macho yangu mkuu.Aliyekwambia hatujafika nusu ya Kusambazia umeme ni nani?
Mahitaji yanazidi kuongezeka lakini sio Kwa Kasi ya kuweza kuzitumia hizo megawatt zote ndani ya miaka 4 ijayo.
Tuko uhuru Hadi Leo tuko kwenye megawatt 2,000 , unadhani hiyo ziada ya 1600 tunaweza ifikia Kwa miaka 4 ijayo?
Si kweli. REA wamesambaza 80% ya vijiji. Pili, umeme umefika kwenye makao makuu ya vijili, ila vitongoji vingi sana havina umeme. So, actual household electrification, haifiki hata 50%.Nchi nzima Kwa Sasa Iko electrified.
Hii sio hoja sahihi. Kama toka 2016 hadi 2023, umeme ulifika vijiji vingi zaidi kuliko 1960 hadi 2015, Si ajabu kufika 2030 vitongoji karibu vikawa na umeme, ni suala la vichocheo vya uchumi na uongozi.Tuko uhuru Hadi Leo tuko kwenye megawatt 2,000 , unadhani hiyo ziada ya 1600 tunaweza ifikia Kwa miaka 4 ijayo?
Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao umefadhiliwa na African Development Bank.
View: https://www.instagram.com/p/C27F55go1Cz/?igsh=emo4eGo4cDQ3d3li
My Take
Kenya wangekuwa wameunganisha grid Yao na Ethiopia,shida za upungufu wa umeme tunazopta saizi zisingekuwepo.
Huu ndio mtaji wa ccm unaoifanya iendelee kuwa madarakani.Bwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.
Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.
Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Fuatilia kwa makini mjadala.Wakina nani?
Biashara hiyo tutawakilishwa na Abdul au mwingine?Wagagagigikoko 🐼
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba tatizo la tanzania kwa sehemu kubwa na mara nyingi huwa halitokani na uchache wa umeme bali linatokana na uchakavu na ubovu wa miundo mbinu yake kwa hivyo inawezekana tu tanzania kuuza umeme kenyaBwawa la umeme litazalisha megawatt zaidi ya 2,000 ambapo ukijumlisha na zilizopo Kwa Sasa itakuwa zaidi ya megawatt 3,600.
Uwezo wa Tzn kutumia umeme sio zaidi megawatt 2,000 so ziaid tutauza Kenya.
Kabla ya kutukana shirikisha ubongo.
Asante sana JPM!! Maono yako japo yalipigwa mawe lakini soon nchi inakwenda kupona!!Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imezitaka Tanzania na Kenya kusaini mikataba mitatu ya Mauziano ya umeme haraka Kufuatia kukamilika Kwa mradi wa kuunganisha gridi ya Nchi hizo mbili ambao umefadhiliwa na African Development Bank.
View: https://www.instagram.com/p/C27F55go1Cz/?igsh=emo4eGo4cDQ3d3li
My Take
Kenya wangekuwa wameunganisha grid Yao na Ethiopia,shida za upungufu wa umeme tunazopta saizi zisingekuwepo.
Kwa sababu nyie ndio mliwaomba pesa Sasa mnajivuta vuta Kwa sababu zipi?Kwa nini hao AfDB wanataka tusaini mkataba haraka? Kuna nini kimejificha nyuma ya pazia?
Watupe muda tuupitie mkataba tujiridhishe kabla ya kumwaga wino. Tusije tukasaini na kujifunga kwenye opportunities nyingine zitakazojitokeza.
Kwani hata asingemuwepo huyo JPM wako Nchi isingekuwa na umeme? Miradi ya umeme kwani ni lazima iwe bwawa la Nyerere tuu?Asante sana JPM!! Maono yako japo yalipigwa mawe lakini soon nchi inakwenda kupona!!
Kuna mbwa walisema eti umefyeka miti kitakuwa na ukame lakini leo nchi inaelemewa na mvua!!
Wakasema huo mradi utakuwa ni white elephant lakini leo hata CHAWA wa Wahuni uliowakataa wanaupigia chepuo mradi.
JPM pumzika Mzalendo wa kweli; ulisingiziwa mengi kuhusu watu kuuliwa, pumzika baba kwani hata Leo kafariki Ole Thadei, kama ungekuwepo wangesema ni wewe.
Pumzika jembe letu, tutakukumbuka kupitia utitiri wa miradi uliyoiacha!!
Ila jua tu kwamba hatuna tena miradi mipya, ila tunauza Mbuga na rasilimali zingine kwa wageni