Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

Watu wengi niwapiga kelele tu lakini vichwani hamza kitu,inamaana hata kukumbuka uchaguzi wa 2020 hamkumbuki! Niwakumbushe tu serikali ilikataa kuchukuwa hela kutoka kwa wahisani kwaajili yauchagu
 
Hawawezi kujigharamia, kina Mwigulu Nchemba na wenzake wameshaiba hela zote treasury

Au mseme ukweli tu kuwa, Samia anaiuza Tanganyika kwa Waarabu na ndiyo wanaomuhonga pesa..

Amehongwa akanunua mapikipiki ya CCM nchi nzima, mabasi ya CCM nchi nzima, na zile zinazotumiwa na wasiojulukana kufanyia operesheni zao za kuteka, kubaka, kulawiti, kutesa na kuua wakosoaji wake...

Fanyeni, lakini hizo zitakauka na mtaumbuka mwishoni...
 

Ni kawaida kwa majizi ya chaguzi kuwa na pesa za kugharimia chaguzi hizo. Nani atafadhili chaguzi za wizi, zisizokuwa huru wala za haki?
 
Kupoteza pesa tu uchaguzi ambao unajulikana mshindi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…