chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
Kuna B kama 700 hamekopa eti ni za majanga 𤣠hizi ndio zitatumika.Warusi,wachina na wakorea watakua wamechangia kwa makunaliano maalumu
Kuna B kama 700 hamekopa eti ni za majanga 𤣠hizi ndio zitatumika.Warusi,wachina na wakorea watakua wamechangia kwa makunaliano maalumu
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
Hauna akili wewe na haujui mambo ya jikoni tulia tukupashe...Zimwi Magufuli alipora pesa za Watanzania wafanyabiashara kamuulize NAKIETE atakupa habari.Kwani ni mara ya kwanza tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe?
REJEA MWAKA 2020
Amos makala anagawana mabilioni na IGP kwa njia haramu za kishetaniHatuna pesa kama nchi hii ni kwasababu ya kuzuia waangalizi wa kimataifa! Kila mtu anajua bila reform pesa zinaenda kuhonga wasanii tu badala ya kusaidia jamii
Uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchaguzi kuna maigizo ya uchaguziTutajigharamia tunaweza kwa asilimia zote
Uonevu kwa wapinzani ndiyo chanzo kikuuSema wafadhili wamegoma kutoa pesa kwa Uchaguzi Janja Janja
Umeuza bandari chenji ipoTutajigharamia tunaweza kwa asilimia zote
Hamwezi mboga amewahi kiweza nani zaidi zaidi na hivi viazi vyetu ndio kabisaa,itasalia kuwa maneno tu.Maana yake wale wenye kihere here wasitupangie jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu
Chaguzi za wizi wizi hiwa ni lazima zilipiwe na wahusika wenyewe, wskiomba msaada watawekewa masharti ya uwazi na haki ambayo hawayawezi na hawayataki!Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
HAKUNA uchaguzi mkuu Tz, Kuna maigizo ya UCHAFUZI MKUU,kwa mabilioni ya fedha bila sababuMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
Hilo ni gazeti la mwaka gani
Hao ndyo watanzania ninao wajua!Hauna akili wewe na haujui mambo ya jikoni tulia tukupashe...Zimwi Magufuli alipora pesa za Watanzania wafanyabiashara kamuulize NAKIETE atakupa habari.