Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
WaarabuTrilioni 5 nani akupe kirahisi Tena kwa mara moja?
WaarabuTrilioni 5 nani akupe kirahisi Tena kwa mara moja?
Ulivyo kilaza, unamuamini!Maana yake wale wenye kihere here wasitupangie jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu
Mwarabu hanaga huo ujinga.Waarabu
Ndio maana yake na ni kikubwa mnoMwarabu hanaga huo ujinga.
Kuna kitu kimewekwa rehani hapo!
Uchwaguzi gani tena?Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
Ni bahati mbaya sana nimezaliwa Hindu Mandal Hospital, nimebatizwa St. Peters Oysterbay, nimesoma vidudu Mlimani Primary School, la kwanza Mapambano Primary School karibu na Afrika Sana. Nimepokea Ekaristi Takatifu katika Parokia ya Maximilian Kolbe Mwenge. Lakini cha ajabu SIJAWAHI KUFIKA KIGAMBONI!Watoto wa "kwa mhaya" pale Kigamboni mna matusi kama waliowaleta duniani.
Wewe unauzia wapi "iwe"!!??
Haiwezi saida, nchi maskini ,yenye watu maskini namna hii , ccm wajitangaze ,maisha mengine yaendeleeMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
Muulize mama yako, "MNF" wa "Koroshoni" anamfahamu, then atakwambia kama hakuwa anafanya "shughuli" Kigamboni.Ni bahati mbaya sana nimezaliwa Hindu Mandal Hospital, nimebatizwa St. Peters Oysterbay, nimesoma vidudu Mlimani Primary School, la kwanza Mapambano Primary School karibu na Afrika Sana. Nimepokea Ekaristi Takatifu katika Parokia ya Maximilian Kolbe Mwenge. Lakini cha ajabu SIJAWAHI KUFIKA KIGAMBONI!
Hata mamaangu kabla hajafariki 1996 HAKUWAHI kufika Kigamboni.Muulize mama yako, "MNF" wa "Koroshoni" anamfahamu, then atakwambia kama hakuwa anafanya "shughuli" Kigamboni.
Tunacheza au hatuchezi!!?? Kwanza jibu hapa!!Hakuna uchaguzi nchini we msukule.
No Reforms.....
Pesa za wafadhili ni za kitapeli kwa kisingizio cha misaada!!Sema wafadhili wamegoma kutoa pesa kwa Uchaguzi Janja Janja
Tume ya uchaguzi ya Nape ipo.Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
No Reforms, No Election.Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
View attachment 3364706
Mbinu ya JPM hiyo.Maana yake wale wenye kihere here wasitupangie jinsi ya kuendesha uchaguzi wetu